Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Hongera kwa vina!Aliyesema riziwani angekuwa VP ni Kigogo,
Lakini tumeshangaa aliyepewa u VP ni Mgogo,
Ila alikaribia kupatia maana ilibaki tu kidogo 🤔
Asante mkuu.Hongera kwa vina!
P
Wee Mzee Paskali, ninachojua mimi R1 anaandaliwa kuwa Rais 2030As long as Riz anakidhi sifa na vigezo, hakuna ubaya angeteuliwa yeye kama wengi walivyopendekeza, ila kuna mambo kwenye urais wetu ambayo hayaandikwi, zaidi ya rais akitoka upande mmoja wa muungano, makamu atoke upande mwingine, pia kuna dini ya rais akiwa wa dini fulani, makamu anakuwa ni dini nyingine, kufuatia kile kilichotokea Machi 17 ile, makamu wa rais ni rais in waiting, hivyo kama ni kweli dogo R1 alipendekezwa na wengi lakini No. 1 akamkatalia, ni amefanya vema for saving the best for the last, R1 zamu yake ni 2040-2050, muda bado tunao wa kutosha https://www.jamiiforums.com/threads...aa-sana-in-future-baada-ya-zamu-yetu.2441510/
P
ChawaAs long as Riz anakidhi sifa na vigezo, hakuna ubaya angeteuliwa yeye kama wengi walivyopendekeza, ila kuna mambo kwenye urais wetu ambayo hayaandikwi, zaidi ya rais akitoka upande mmoja wa muungano, makamu atoke upande mwingine, pia kuna dini ya rais akiwa wa dini fulani, makamu anakuwa ni dini nyingine, kufuatia kile kilichotokea Machi 17 ile, makamu wa rais ni rais in waiting, hivyo kama ni kweli dogo R1 alipendekezwa na wengi lakini No. 1 akamkatalia, ni amefanya vema for saving the best for the last, R1 zamu yake ni 2040-2050, muda bado tunao wa kutosha https://www.jamiiforums.com/threads...aa-sana-in-future-baada-ya-zamu-yetu.2441510/
P
Hivi mkuu unaandika vipi makala za kujadili ibara za katiba ilhali una mawazo ya watu kuwa na zamu za kugombea? Kwamba mwaka flani mgombea ni flani na flani..As long as Riz anakidhi sifa na vigezo, hakuna ubaya angeteuliwa yeye kama wengi walivyopendekeza, ila kuna mambo kwenye urais wetu ambayo hayaandikwi, zaidi ya rais akitoka upande mmoja wa muungano, makamu atoke upande mwingine, pia kuna dini ya rais akiwa wa dini fulani, makamu anakuwa ni dini nyingine, kufuatia kile kilichotokea Machi 17 ile, makamu wa rais ni rais in waiting, hivyo kama ni kweli dogo R1 alipendekezwa na wengi lakini No. 1 akamkatalia, ni amefanya vema for saving the best for the last, R1 zamu yake ni 2040-2050, muda bado tunao wa kutosha https://www.jamiiforums.com/threads...aa-sana-in-future-baada-ya-zamu-yetu.2441510/
P
Hakuna amani bila haki.Sasa I am not suggesting kwamba mimi nimemwona Kigogo kwamba ni mtu ambaye anasema habari za kweli au habari ambazo ni useful.
In fact huyu Kigogo ni mbabaishaija kama wababaishaji wengine.
In fact,it is a tragic situation katika internet,watu wanaripoti mambo mengi ya uongo.
Lakini hii ni Tanzania tu.
Katika nchi nyingine tunaona discipline ya kutmumia internet inadumishwa.
Kwanza Kigogo huyu ni anonymous.
Kwa hiyo anaweza kuwa mshirika wa Riz One.
Mi nadhani jambo muhimu sasa ni Ikulu iwaite watu ambao inaona watafaa kushiriki kwenye Mkutano wa maridhiano ya kitaifa.
Amani hailetwi na mtu yeyote.
Vietnam ilitokea amani kwa sababu wote,Wavietnam na Wamarekani walikuwa wamechoka kupigana.
Putin anaonekana dhahiri anajuta kuishambulia Ukraine.
Trump anasema ,ndiyo,Iran lazima iadhibiwe lakini tunakuja katika hizi mid-term elections. Hii vita haiwapendezi Wamarekani.
Kwa hiyo nadhani sasa ni wakati mzuri wa kuongea kuhusu amani.
Kwa hiyo habari ndiyo hiyo.
Ile nafasi ilikuwa iende Kwa Riz One.
Kigogo anasema watu wengi walipendekeza Riz One awe Makamu wa Rais lakini Samia amekataa.
Kweli mwandishi nguli anaweza kuandika 2040…ni zamu ya mtu fulani 🤔, I can’t imagine Ulimwengu au mwandishi wa New York Times aandike ulichoandikaAs long as Riz anakidhi sifa na vigezo, hakuna ubaya angeteuliwa yeye kama wengi walivyopendekeza, ila kuna mambo kwenye urais wetu ambayo hayaandikwi, zaidi ya rais akitoka upande mmoja wa muungano, makamu atoke upande mwingine, pia kuna dini ya rais akiwa wa dini fulani, makamu anakuwa ni dini nyingine, kufuatia kile kilichotokea Machi 17 ile, makamu wa rais ni rais in waiting, hivyo kama ni kweli dogo R1 alipendekezwa na wengi lakini No. 1 akamkatalia, ni amefanya vema for saving the best for the last, R1 zamu yake ni 2040-2050, muda bado tunao wa kutosha https://www.jamiiforums.com/threads...aa-sana-in-future-baada-ya-zamu-yetu.2441510/
P
https://www.facebook.com/Sasa I am not suggesting kwamba mimi nimemwona Kigogo kwamba ni mtu ambaye anasema habari za kweli au habari ambazo ni useful.
In fact huyu Kigogo ni mbabaishaija kama wababaishaji wengine.
In fact,it is a tragic situation katika internet,watu wanaripoti mambo mengi ya uongo.
Lakini hii ni Tanzania tu.
Katika nchi nyingine tunaona discipline ya kutmumia internet inadumishwa.
Kwanza Kigogo huyu ni anonymous.
Kwa hiyo anaweza kuwa mshirika wa Riz One.
Mi nadhani jambo muhimu sasa ni Ikulu iwaite watu ambao inaona watafaa kushiriki kwenye Mkutano wa maridhiano ya kitaifa.
Amani hailetwi na mtu yeyote.
Vietnam ilitokea amani kwa sababu wote,Wavietnam na Wamarekani walikuwa wamechoka kupigana.
Putin anaonekana dhahiri anajuta kuishambulia Ukraine.
Trump anasema ,ndiyo,Iran lazima iadhibiwe lakini tunakuja katika hizi mid-term elections. Hii vita haiwapendezi Wamarekani.
Kwa hiyo nadhani sasa ni wakati mzuri wa kuongea kuhusu amani.
Kwa hiyo habari ndiyo hiyo.
Ile nafasi ilikuwa iende Kwa Riz One.
Kigogo anasema watu wengi walipendekeza Riz One awe Makamu wa Rais lakini Samia amekataa.
Inajulikana mbona,unajipendekeza ili upate japo kauteuzi.Mtu anaejipendekeza ni yule mwenye malengo fulani, huko kujipendekeza, kusaidie, mimi nijipendekeze ili iweje?.
Naomba tusififishe freedom of expression za watu ili wasionekane wanajipendekeza
P