Video hii si ya Tanzania
Ufuatiliaji wa kimtandao uliofanywa na JamiiCheck kwa kutumia Google reverse image search ulibaini kuwa video hiyo ilichapishwa kwa mara ya kwanza mtandaoni mnamo tarehe 1 Novemba, 2020.
Aidha video iliambatanishwa na maneno (Caption) yaliyo katika lugha ya kifaransa, "Présidentielle en Côte d'Ivoire : Les preuves d'un bourrage d'urne" ambayo kwa lugha ya kiswahili yametafsiriwa, "Uchaguzi wa Urais nchini Côte d'Ivoire: Ushahidi wa kujazwa kwa masanduku ya kura"
Pia video hiyo ilichapishwa Novemba 03, 2020 katika mtandao wa X, ikiambatana na ujumbe unaosomeka "Scrutin présidentiel en Côte d’Ivoire .Véritable mascarade. Regardez par vous même." ambao kwa kiswahili umetafsiriwa, "Uchaguzi wa Urais nchini Côte d’Ivoire: Sarakasi halisi. Tazama mwenyewe."
Hivyo Video imebainika kuwa ni kutoka nchini Ivory Coast wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Oktoba 31, 2020. Aidha moja kati ya vigezo vilivyobainika katika ni pamoja na Karatasi ya kupigia kura inayoonekana ambayo inafanana na karatasi halisi zilizokuwa zikitumika katika upigaji wa kura katika uchaguzi huo.
Hii michezo hiiKigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020
Kigogo anadai video hii inaonesha jinsi afisa wa uchaguzi walivyokuwa wakichagua viongozi katika vituo vya kupigia kura huku ulinzi ukiendelea nje kwa lengo la kuhakikisha hakuna Mwananchi atakayeshuhudia
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1A58YLuRso/
Na wakala wenu wa vyama vya upinzani ndani ya vituo huwa nini wazushi nyie?Hii KAZI kwa sehemu KUBWA ilifanywa na Walimu, uchafu mwingi ulifanywa kwenye vyuo vya ualimu na pale Baraza la mitihani pia. Walikua wanafungiwa na kulishwa msosi na posho. Ilifanyika pia kwenye vyuo vingi nchini....
Unajitoa ufahamu sio?Acha uzushi
Wakala wa vyama vya upinzani ndani ya vituo vya kura walikuwa wamesinzia au wamekufa? Kazi yao nini? Vituoni?
Utaletaje hapa kitu ambacho siyo credible hapa JF?Muulize Kigogo habari za uzushi Mkuu, anayeshutumu ni yeye sio mimi
Anayeshikwa na nyama ya wizi ndie mwizi huwezi sema mimi nilitumwa na mwizi nimpelekee nyama buchani JamiiForumsMuulize Kigogo habari za uzushi Mkuu, anayeshutumu ni yeye sio mimi
Jibu swali mawakala wa vyama vya upinzani kwenye vituo vya kupigia kura kazi huwa ni nini hadi kura zinaibiwa wakiwepo? Huo ni uzushi mnaoandikaUnajitoa ufahamu sio?
Mbona kama sio Tanzania? Halafu mfumo wetu wa kupiga kura huwa tunaweka alama ya tiki (✅) badala ya kosa (❌) kama anavyofanya huyo hapo kwenye video.Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020
Kigogo anadai video hii inaonesha jinsi afisa wa uchaguzi walivyokuwa wakichagua viongozi katika vituo vya kupigia kura huku ulinzi ukiendelea nje kwa lengo la kuhakikisha hakuna Mwananchi atakayeshuhudia
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1A58YLuRso/
Kwani kura zinapigwa kwa kuwekewa alama ya X au tick? Sijaelewa hapoKigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020
Kigogo anadai video hii inaonesha jinsi afisa wa uchaguzi walivyokuwa wakichagua viongozi katika vituo vya kupigia kura huku ulinzi ukiendelea nje kwa lengo la kuhakikisha hakuna Mwananchi atakayeshuhudia
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1A58YLuRso/
Ni kweli sisi Tanzania chaguzi zetu tukipiga kura hutumia akama ya tick sio ya kosaMbona kama sio Tanzania? Halafu mfumo wetu wa kupiga kura huwa tunaweka alama ya tiki (✅) badala ya kosa (❌) kama anavyofanya huyo hapo kwenye video.
Hao wagombea nimeshindwa kuwatambua…
uzushi huo!Mbona kama sio Tanzania? Halafu mfumo wetu wa kupiga kura huwa tunaweka alama ya tiki (✅) badala ya kosa (❌) kama anavyofanya huyo hapo kwenye video.
Hao wagombea nimeshindwa kuwatambua…
Asilimia kubwa ya mawakala wa upinzani walizuiwa kuingia kwenye vituoAcha uzushi
Wakala wa vyama vya upinzani ndani ya vituo vya kura walikuwa wamesinzia au wamekufa? Kazi yao nini? Vituoni?