Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020

Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020

Status
Not open for further replies.
Ni kweli sisi Tanzania chaguzi zetu tukipiga kura hutumia akama ya tick sio ya kosa

Wanajitahidi kutunga uongo wa kila namna kuthibitisha uongo wao .
Process wanaanza kwanza kutunga uongo.halafu wanatafuta vithibitisho vya uongo kuthibitisha uongo kama hicho
Mkuu mbona unahangaika sana.? Ushauri wangu, iogope technology. Haisahau kamwe.
 
Mbona kama sio Tanzania? Halafu mfumo wetu wa kupiga kura huwa tunaweka alama ya tiki (✅) badala ya kosa (❌) kama anavyofanya huyo hapo kwenye video.

Hao wagombea nimeshindwa kuwatambua…
Kanuni za uchaguzi zinasema aweke alama yoyote ile tiki au X ili mradi iwe kwenye chumba cha mgombea hiyo itahesabika kuwa ni kura halali
 

Attachments

  • 5811319-c90487a0a3c9f670172c401e803cbac.mp4
    3.5 MB
  • 5811771-84b12f6d5ff81d807821a183416ac2e.mp4
    648.4 KB
  • 6016899-46d1e509592bd73d8313972ca4ec270.mp4
    805.6 KB
  • 6021175-479b15392d489294edae554034bf610.mp4
    579.6 KB
  • 6021057-0f909c697d438e92943259338c363da.mp4
    7.7 MB
Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020
Kigogo anadai video hii inaonesha jinsi afisa wa uchaguzi walivyokuwa wakichagua viongozi katika vituo vya kupigia kura huku ulinzi ukiendelea nje kwa lengo la kuhakikisha hakuna Mwananchi atakayeshuhudia


View: https://www.facebook.com/share/v/1A58YLuRso/

Jamaa mbona kama anapigia kura watu wote. Kila akichukua karatasi anapigia mwingine

Mwishoni haongei kiswahili.
 
Acha uzushi

Wakala wa vyama vya upinzani ndani ya vituo vya kura walikuwa wamesinzia au wamekufa? Kazi yao nini? Vituoni?
Mawakala walifukuzwa na wengine kunyimwa kibari na mkurugenzi na baadhi yao walipewa rushwa
 
UZUSHI..
Kwanza hyo aina ya uchaguz sio ya tz.

Hv wiz hua unafanyikaje wakat kila chama hua kinawawakilish wake mle ndan?

Anyway tuache makelele.. Maamaa mi 5 teenaa
 
Ni kipi kinachofanya tuamini kuwa tukio hilo limefanyka Tanzania wakati picha haionyeshi sura za wanaopigiwa kura?
 
Magufuli ni yupi kwenye hizo karatasi.... Naomba kuona alama ya chama kimojawapo cha tz hapo.
 
UZUSHI..
Kwanza hyo aina ya uchaguz sio ya tz.

Hv wiz hua unafanyikaje wakat kila chama hua kinawawakilish wake mle ndan?

Anyway tuache makelele.. Maamaa mi 5 teenaa
Wewe una akili kweli? Hata macho yako hayaoni karatasi za uchaguzi na sura za wangombea? Hebu angalia video hiyo kwa umakini!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom