Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020

Status
Not open for further replies.
Mkuu mbona unahangaika sana.? Ushauri wangu, iogope technology. Haisahau kamwe.
 
Mbona kama sio Tanzania? Halafu mfumo wetu wa kupiga kura huwa tunaweka alama ya tiki (✅) badala ya kosa (❌) kama anavyofanya huyo hapo kwenye video.

Hao wagombea nimeshindwa kuwatambua…
Kanuni za uchaguzi zinasema aweke alama yoyote ile tiki au X ili mradi iwe kwenye chumba cha mgombea hiyo itahesabika kuwa ni kura halali
 

Attachments

  • 5811319-c90487a0a3c9f670172c401e803cbac.mp4
    3.5 MB
  • 5811771-84b12f6d5ff81d807821a183416ac2e.mp4
    648.4 KB
  • 6016899-46d1e509592bd73d8313972ca4ec270.mp4
    805.6 KB
  • 6021175-479b15392d489294edae554034bf610.mp4
    579.6 KB
  • 6021057-0f909c697d438e92943259338c363da.mp4
    7.7 MB
Acha uzushi

Wakala wa vyama vya upinzani ndani ya vituo vya kura walikuwa wamesinzia au wamekufa? Kazi yao nini? Vituoni?
Mawakala walifukuzwa na wengine kunyimwa kibari na mkurugenzi na baadhi yao walipewa rushwa
 
UZUSHI..
Kwanza hyo aina ya uchaguz sio ya tz.

Hv wiz hua unafanyikaje wakat kila chama hua kinawawakilish wake mle ndan?

Anyway tuache makelele.. Maamaa mi 5 teenaa
 
Ni kipi kinachofanya tuamini kuwa tukio hilo limefanyka Tanzania wakati picha haionyeshi sura za wanaopigiwa kura?
 
Magufuli ni yupi kwenye hizo karatasi.... Naomba kuona alama ya chama kimojawapo cha tz hapo.
 
UZUSHI..
Kwanza hyo aina ya uchaguz sio ya tz.

Hv wiz hua unafanyikaje wakat kila chama hua kinawawakilish wake mle ndan?

Anyway tuache makelele.. Maamaa mi 5 teenaa
Wewe una akili kweli? Hata macho yako hayaoni karatasi za uchaguzi na sura za wangombea? Hebu angalia video hiyo kwa umakini!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…