ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Tatizo siyo Mkuu wa Mkoa bali ni viongozi wa kisiasa hapo Arusha wakati wa JPM walipelekewa pesa kwa ajili ya ujenzi wa Stand ya Bus lakini haikuwezekana kwa kuwa wanasiasa walikuwa wanabishana sehemu ya kujenga hiyo Stand. Mwaka wa fedha uliyopita pia wamerudisha pesa kibao kwa kushindwa kuzitumia kwa sababu ya mabishano ndani ya vikao vya madiwani akiwemo huyo Gambo. Unawezaje kumlaumu RC kwa hilo labda kama una akili za kinyumbu.Nakubalina na maoni ya Kigogo Kwa sababu haiwezekani Kiongozi ashindwe kuweka mikakati ya kushughulikiwa Changamoto za msingi za Wana Arusha badala yake Kila siku anatunga maihizo ya movies yasiyo na msingi huku akiwakejeli wengine π π π π
View: https://x.com/kigogo2014/status/1889577775440306630?t=ONWZYrzHmkXv9Kh9Xm3oDw&s=19
Gambo alianza na Ukuu wa Wilaya hiyo hiyo isiyokuwa na StendiSasa Makonda ana muda gani Arusha.? Anamapungufu yake sawa ... team Gambo hamna akili....Makonda kama Arusha mwaka Jana.
Gambo upo Arusha toka ukiwa Mkuu wa mkoa.... nadhani hawa jamaa huwa wanapata nyadhifaa kwasababu ya kujuana tu havina hata akili.....
RC anafanya kazi gani? Viongozi wa siasa ndio wanatafuta hela na Kusini miradi?Tatizo siyo Mkuu wa Mkoa bali ni viongozi wa kisiasa hapo Arusha wakati wa JPM walipelekewa pesa kwa ajili ya ujenzi wa Stand ya Bus lakini haikuwezekana kwa kuwa wanasiasa walikuwa wanabishana sehemu ya kujenga hiyo Stand. Mwaka wa fedha uliyopita pia wamerudisha pesa kibao kwa kushindwa kuzitumia kwa sababu ya mabishano ndani ya vikao vya madiwani akiwemo huyo Gambo. Unawezaje kumlaumu RC kwa hilo labda kama una akili za kinyumbu.
Ndio pekee amekuwa akipigana kuisaka stendi Toka akiwa DC Hadi Sasa Mbunge.Gambo alianza na Ukuu wa Wilaya hiyo hiyo isiyokuwa na Stendi
Gambo mswahili Swahili sana π
Mwaka mzima hana majibu ya kuleta kuhusu stendi ila ana majibu ya kutukana wenzie Akidai anapiga spana au?Sasa Makonda ana muda gani Arusha.? Anamapungufu yake sawa ... team Gambo hamna akili....Makonda kaja Arusha mwaka Jana.
Gambo upo Arusha toka ukiwa Mkuu wa mkoa..mkuu wa wilaya.. nadhani hawa jamaa huwa wanapata nyadhifaa kwasababu ya kujuana tu havina hata akili.....
Gambo alipokuwa RC wa Arusha huo mpango wa kujenga stendi ya kisasa haukuwepo ?Nakubalina na maoni ya Kigogo Kwa sababu haiwezekani Kiongozi ashindwe kuweka mikakati ya kushughulikiwa Changamoto za msingi za Wana Arusha badala yake Kila siku anatunga maihizo ya movies yasiyo na msingi huku akiwakejeli wengine π π π π
View: https://x.com/kigogo2014/status/1889577775440306630?t=ONWZYrzHmkXv9Kh9Xm3oDw&s=19
My Take
Gambo amepiga ndege 2 Kwa Jiwe Moja ππ
View: https://x.com/millardayo/status/1889366238654070945?t=pq3FB7fAvPofIh2ygN7h7Q&s=19
Gambo ndio pekee amekuwa anampigania stendi hapo ArushaGambo alipokuwa RC wa Arusha huo mpango wa kujenga stendi ya kisasa haukuwepo ?
Wewe tunakujua ni against Makonda. Unajua pesa za miradi kisheria nani mwenye maamuzi? Madiwani ndio wenye maamuzi mradi ufanyike sehemu gani na wala si RC. Tatizo lako unawaza ufisadi tu.RC anafanya kazi gani? Viongozi wa siasa ndio wanatafuta hela na Kusini miradi?
Kwamba kazi ya RC ni kutengeneza futuhi au? ππ
Jambo jema...Gambo ndio pekee amekuwa anampigania stendi hapo Arusha
Mimi Niko against na waigizaji na wapenda sifa na promo wote bila kujalisha chama walichoko.Wewe tunakujua ni against Makonda. Unajua pesa za miradi kisheria nani mwenye maamuzi? Madiwani ndio wenye maamuzi mradi ufanyike sehemu gani na wala si RC. Tatizo lako unawaza ufisadi tu.
Wewe Makonda humwezi.Mwaka mzima hana majibu ya kuleta kuhusu stendi ila ana majibu ya kutukana wenzie Akidai anapiga spana au?
Bado anapiga kazi na anakubalika sana na wana Arusha sasa wewe shithole utamsaidia nini!!?Mimi Niko against na waigizaji na wapenda sifa na promo wote bila kujalisha chama walichoko.
Amefanya nini huyo kuhusu stendi? Huyo aliharibu kumzuia Mbunge eti asiseme matatizo ya Wananchi Kwa viongozi kisa ataumbuka na maihizo yake ππ
Watu wa hivyo kwako Wana mchango upi ? Walifaa wawe wahamasishaji kama Manara.
Miongoni mwa wajinga,hata wewe nikikuuliza anapiga kazi gani huna majibuBado anapiga kazi na anakubalika sana na wana Arusha sasa wewe shithole utamsaidia!