Kigogo: "Gambo Amenifurahisha Sana Kwa Kumuumbua Kiongozi wa Mkoa Mfanya Matamasha ya kula nyama wakati Jiji halina Stendi."

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Nakubalina na maoni ya Kigogo Kwa sababu haiwezekani Kiongozi ashindwe kuweka mikakati ya kushughulikiwa Changamoto za msingi za Wana Arusha badala yake Kila siku anatunga maihizo ya movies yasiyo na msingi huku akiwakejeli wengine 😂 😂 👇 👇

View: https://x.com/kigogo2014/status/1889577775440306630?t=ONWZYrzHmkXv9Kh9Xm3oDw&s=19

My Take
Gambo amepiga ndege 2 Kwa Jiwe Moja 👇👇

View: https://x.com/millardayo/status/1889366238654070945?t=pq3FB7fAvPofIh2ygN7h7Q&s=19

Na ieleweke Gambo pekee ndio amekuwa akipambania stendi hapo Arusha Kwa miaka yote
Screenshot_20240729-061436.jpg
Screenshot_20240729-061533.jpg
 
Nakubalina na maoni ya Kigogo Kwa sababu haiwezekani Kiongozi ashindwe kuweka mikakati ya kushughulikiwa Changamoto za msingi za Wana Arusha badala yake Kila siku anatunga maihizo ya movies yasiyo na msingi huku akiwakejeli wengine 😂 😂 👇 👇

View: https://x.com/kigogo2014/status/1889577775440306630?t=ONWZYrzHmkXv9Kh9Xm3oDw&s=19

Tatizo siyo Mkuu wa Mkoa bali ni viongozi wa kisiasa hapo Arusha wakati wa JPM walipelekewa pesa kwa ajili ya ujenzi wa Stand ya Bus lakini haikuwezekana kwa kuwa wanasiasa walikuwa wanabishana sehemu ya kujenga hiyo Stand. Mwaka wa fedha uliyopita pia wamerudisha pesa kibao kwa kushindwa kuzitumia kwa sababu ya mabishano ndani ya vikao vya madiwani akiwemo huyo Gambo. Unawezaje kumlaumu RC kwa hilo labda kama una akili za kinyumbu.
 
Sasa Makonda ana muda gani Arusha.? Anamapungufu yake sawa ... team Gambo hamna akili....Makonda kaja Arusha mwaka Jana.

Gambo upo Arusha toka ukiwa Mkuu wa mkoa..mkuu wa wilaya.. nadhani hawa jamaa huwa wanapata nyadhifaa kwasababu ya kujuana tu havina hata akili.....
 
Sasa Makonda ana muda gani Arusha.? Anamapungufu yake sawa ... team Gambo hamna akili....Makonda kama Arusha mwaka Jana.

Gambo upo Arusha toka ukiwa Mkuu wa mkoa.... nadhani hawa jamaa huwa wanapata nyadhifaa kwasababu ya kujuana tu havina hata akili.....
Gambo alianza na Ukuu wa Wilaya hiyo hiyo isiyokuwa na Stendi

Gambo mswahili Swahili sana 😀
 
Tatizo siyo Mkuu wa Mkoa bali ni viongozi wa kisiasa hapo Arusha wakati wa JPM walipelekewa pesa kwa ajili ya ujenzi wa Stand ya Bus lakini haikuwezekana kwa kuwa wanasiasa walikuwa wanabishana sehemu ya kujenga hiyo Stand. Mwaka wa fedha uliyopita pia wamerudisha pesa kibao kwa kushindwa kuzitumia kwa sababu ya mabishano ndani ya vikao vya madiwani akiwemo huyo Gambo. Unawezaje kumlaumu RC kwa hilo labda kama una akili za kinyumbu.
RC anafanya kazi gani? Viongozi wa siasa ndio wanatafuta hela na Kusini miradi?

Kwamba kazi ya RC ni kutengeneza futuhi au? 😁😁
 
Sasa Makonda ana muda gani Arusha.? Anamapungufu yake sawa ... team Gambo hamna akili....Makonda kaja Arusha mwaka Jana.

Gambo upo Arusha toka ukiwa Mkuu wa mkoa..mkuu wa wilaya.. nadhani hawa jamaa huwa wanapata nyadhifaa kwasababu ya kujuana tu havina hata akili.....
Mwaka mzima hana majibu ya kuleta kuhusu stendi ila ana majibu ya kutukana wenzie Akidai anapiga spana au?
 
Nakubalina na maoni ya Kigogo Kwa sababu haiwezekani Kiongozi ashindwe kuweka mikakati ya kushughulikiwa Changamoto za msingi za Wana Arusha badala yake Kila siku anatunga maihizo ya movies yasiyo na msingi huku akiwakejeli wengine 😂 😂 👇 👇

View: https://x.com/kigogo2014/status/1889577775440306630?t=ONWZYrzHmkXv9Kh9Xm3oDw&s=19

My Take
Gambo amepiga ndege 2 Kwa Jiwe Moja 👇👇

View: https://x.com/millardayo/status/1889366238654070945?t=pq3FB7fAvPofIh2ygN7h7Q&s=19

Gambo alipokuwa RC wa Arusha huo mpango wa kujenga stendi ya kisasa haukuwepo ?
 
RC anafanya kazi gani? Viongozi wa siasa ndio wanatafuta hela na Kusini miradi?

Kwamba kazi ya RC ni kutengeneza futuhi au? 😁😁
Wewe tunakujua ni against Makonda. Unajua pesa za miradi kisheria nani mwenye maamuzi? Madiwani ndio wenye maamuzi mradi ufanyike sehemu gani na wala si RC. Tatizo lako unawaza ufisadi tu.
 
Mimi Niko against na waigizaji na wapenda sifa na promo wote bila kujalisha chama walichoko.

Amefanya nini huyo kuhusu stendi? Huyo aliharibu kumzuia Mbunge eti asiseme matatizo ya Wananchi Kwa viongozi kisa ataumbuka na maihizo yake 😂😂

Watu wa hivyo kwako Wana mchango upi ? Walifaa wawe wahamasishaji kama Manara.
 
Vichwa vibovu.

Milioni 60 wote vichwa panzi

Dar imeonekana model ya stendi moja, kubwa maalum, imekataliwa. Haitumiki.

Kwa nini bado tunaongelea Stendi za Mkoa ?

Tunataka modern highways, barabara zipanuliwe, usalama uongezeke, sio ma stendi ya mikoa.

Dare to think big.
 
Mimi Niko against na waigizaji na wapenda sifa na promo wote bila kujalisha chama walichoko.

Amefanya nini huyo kuhusu stendi? Huyo aliharibu kumzuia Mbunge eti asiseme matatizo ya Wananchi Kwa viongozi kisa ataumbuka na maihizo yake 😂😂

Watu wa hivyo kwako Wana mchango upi ? Walifaa wawe wahamasishaji kama Manara.
Bado anapiga kazi na anakubalika sana na wana Arusha sasa wewe shithole utamsaidia nini!!?
 
Back
Top Bottom