RC ndiye anayesaini mikataba na wakandarasi au ndiye anayewezesha upatikanaji wa pesa ya mradi ? haya mambo ungemuuliza Mama yenu anayemtumiaga Makonda kuchamba wapinzani wake ndani ya chama ! wewe na Makonda waote ni misukule ya Mama .. na wala msigeukane..Matusi ni dalili ya mtu aliyeshindwa hoja
Hakuna mkataba umesainiwa ,yeye ndio Mtendaji Mkuu wa Mkoa na msimamizi Mkuu wa maendeleo.RC ndiye anayesaini mikataba na wakandarasi au ndiye anayewezesha upatikanaji wa pesa ya mradi ? haya mambo ungemuuliza Mama yenu anayemtumiaga Makonda kuchamba wapinzani wake ndani ya chama ! wewe na Makonda waote ni misukule ya Mama .. na wala msigeukane..
Mimi ndio Kigogo?
Wewe unachuki na makonda. Ni utapeli wako ndiyo unakuponza. Makonda ana muda Gani Arusha? Stendi ya Arusha ilianza kuzungumuzwa hata magufuli jembe Bado yupo hai. Walikuwa na mgogoro. Makonda anatoa wapi pesa ya kujenga stendi bila wizara ya fedha? Wewe ni mjinga unayekaribia kufa. Jinga kabisaNakubalina na maoni ya Kigogo Kwa sababu haiwezekani Kiongozi ashindwe kuweka mikakati ya kushughulikiwa Changamoto za msingi za Wana Arusha badala yake Kila siku anatunga maihizo ya movies yasiyo na msingi huku akiwakejeli wengine 😂 😂 👇 👇
View: https://x.com/kigogo2014/status/1889577775440306630?t=ONWZYrzHmkXv9Kh9Xm3oDw&s=19
My Take
Gambo amepiga ndege 2 Kwa Jiwe Moja 👇👇
View: https://x.com/millardayo/status/1889366238654070945?t=pq3FB7fAvPofIh2ygN7h7Q&s=19
Na ieleweke Gambo pekee ndio amekuwa akipambania stendi hapo Arusha Kwa miaka yote
View attachment 3234573View attachment 3234574
Wapi mada imemtaja RC? Mbona mna wenge?RC ndiye anayesaini mikataba na wakandarasi au ndiye anayewezesha upatikanaji wa pesa ya mradi ? haya mambo ungemuuliza Mama yenu anayemtumiaga Makonda kuchamba wapinzani wake ndani ya chama ! wewe na Makonda waote ni misukule ya Mama .. na wala msigeukane..
Wapi nimemtaja Makonda kwenye mada hapo Juu?Wewe unachuki na makonda. Ni utapeli wako ndiyo unakuponza. Makonda ana muda Gani Arusha? Stendi ya Arusha ilianza kuzungumuzwa hata magufuli jembe Bado yupo hai. Walikuwa na mgogoro. Makonda anatoa wapi pesa ya kujenga stendi bila wizara ya fedha? Wewe ni mjinga unayekaribia kufa. Jinga kabisa
Mzee wa Kino katika hili namtetea Makonda. Matamasha yake hayana athari zozote kwa ujenzi wa Stendi. Mkwamishaji wa stendi kujengwa ni huyohuyo Gambo na wanasiasa wenzake ndani ya Arusha. Akiwa RC alihamisha sehemu ya kujengea stendi iliyopitishwa na kupeleka sehemu nyingine. Ukawa ni mzozo. Gambo anachofanya ni kutafuta sifa za kisiasa. Nampongeza Makonda kuwa mjanja na kutojiingiza kwenye hili jambo kichwa kichwa.Ndiyo wajenge sasa waache mambo ya matamsha na anasa
Ova
Asante kazi njema...Wapi mada imemtaja RC? Mbona mna wenge?
Hiyo Gambo ndo mkwamishaji mkuu wa huo mradi toka mwanzo. Acha kumsifia bila sababu.Nakubalina na maoni ya Kigogo Kwa sababu haiwezekani Kiongozi ashindwe kuweka mikakati ya kushughulikiwa Changamoto za msingi za Wana Arusha badala yake Kila siku anatunga maihizo ya movies yasiyo na msingi huku akiwakejeli wengine 😂 😂 👇 👇
View: https://x.com/kigogo2014/status/1889577775440306630?t=ONWZYrzHmkXv9Kh9Xm3oDw&s=19
My Take
Gambo amepiga ndege 2 Kwa Jiwe Moja 👇👇
View: https://x.com/millardayo/status/1889366238654070945?t=pq3FB7fAvPofIh2ygN7h7Q&s=19
Na ieleweke Gambo pekee ndio amekuwa akipambania stendi hapo Arusha Kwa miaka yote
View attachment 3234573View attachment 3234574
Acha kelele. Hujui kitu kuhusu Arusha.Ndio pekee amekuwa akipigana kuisaka stendi Toka akiwa DC Hadi Sasa Mbunge.
Nani mwingine anapambania Arusha?
Wenge 😂😂Acha kelele. Hujui kitu kuhusu Arusha.
PovuHiyo Gambo ndo mkwamishaji mkuu wa huo mradi toka mwanzo. Acha kumsifia bila sababu.
bibi chura ana majini yepi miaka 5?Mwaka mzima hana majibu ya kuleta kuhusu stendi ila ana majibu ya kutukana wenzie Akidai anapiga spana au?
Hapo Arusha anajenga uwanja Mpya piruuu,anajenga mabarabafa Kila sehemu,amewaletea maji,amewaletea mapesa ya utalii, na Mikutano,amewakarabatia uwanja wa Ndege kule kisongo , kwenye mashule ndio usiseme,Afya ndio kabisaa kiufupi bila Samia Arusha ilishajifia awamu ya 5.bibi chura ana majini yepi miaka 5?
ununuzi magoli simba na yanga
kwa mamilioni ya pesa
ina maana amemaliza
kufanya maendeleo yote?
mbona wanafunzi wanakaa chini?
Umeanza kukimbia comments zako mbona hapo juu ulikuwa unamponda sasa watz wameamua kukutolea uvivu naona unajikana.Wapi nimemtaja Makonda kwenye mada hapo Juu?
Muulize Gambo.Hakuna mkataba umesainiwa ,yeye ndio Mtendaji Mkuu wa Mkoa na msimamizi Mkuu wa maendeleo.
Aeleze stendi Iko wapi? Kwa nini haije gwi?