wapuuzi tu hao na hiyo OFM itamtokea puani
wapuuzi tu hao na hiyo OFM itamtokea puani
Wakimtaja naomba unishtue natoka mara moja
huyu kijana sijui aliwaza nini bado sijapat jibu sahihi aiseh, yani upumuliwe then utangazwe? Na picha zake kakubal ziwekwe
Kwa uelewa wa kitoto tu hakuna kiongozi wa kumi wa kiserikali anaetembelea king'ora na gari la polisi hizi ni habari za kijinga zinazoweza kueleweka kwa lower thinkers...
Kwa uelewa wa kitoto tu hakuna kiongozi wa kumi wa kiserikali anaetembelea king'ora na gari la polisi hizi ni habari za kijinga zinazoweza kueleweka kwa lower thinkers...
umeambiwa yupo katika watu kumi wa juu na si mtu wa kumi.halafu mbona mtu kibao wanakuwa wakali baada ya kusoma habari hii? inaonekana kuna mapunga kibao hapa.ukipinga hiyo stori bila shaka na wewe ni mfuasi wa Elton John
Tunafanya critical thinking and argumentation hapa hatupo kwenye kwenye vijiwe vya akina mama wapika chapati...
Huwezi tu kuamini kitu kwa kuogopa watu watakufikiriaje kwani hao mapunga wakipinga habari hii wanapata nini? Usiwe mtu mwenye akili ndogo na nyepesi isiyoweza kuchuja habari ya kuiamini na kutoiamini....
Viongozi kumi wa juu wa serikali ni wapi? Serikali hii ina viongozi wakuu watatu wa kitaifa ambao ni Rais.. Makamu wa Rais na Waziri mkuu Baraza la mawaziri na wengine huyo miongoni mwa viongozi kumi ni ni nani na hao viongozi kumi wa juu kwa vigezo gani??
Usidhani kila mtu ana ubongo unapokea mambo mepesi na reja reja kiulaini bila kufikiri kama wewe mpenda habari wa makaratasi ya rangi rangi...
JF ni home of great thinkers..... si kijiwe cha makaratasi yenu ya rangi rangi so kama unaleta habari toa mtiririko mzuri wa matini watu wakuelewe sio umbea huu wa kuvutia zile akili ndogo zisizoweza kudadisi mithili ya wafu..
mbona unatoka povu? umeambiwa top ten then wakakupunguzia kazi kwa kukuambia anaongozwa na mapikipiki.sisi wenye akili timamu tumemtambua.kama uko gizani just kaa kimya.
Hii OFM itamtokea puani shigongo maana njaa yake ya kutafuta wanunuzi wa magazeti yake kinguvu itamponza......
Huo ni uongo kwakuwa hakuna kiongozi wa kumi anaetembea na king'ora ktk nchi hii habari hizo wataziamini lower thinkers
umeona enheee ndo bongo yetu hii..
wapuuzi tu hao na hiyo OFM itamtokea puani
Huyo dogo bwabwa kweli.
Kweli hii ni home of great thinkers, ila humu kina watu wana act kama lower thinkers mambulula kupokea vitu bila kufikiri, tumia akili yako na yakuambia mtadanganywa mpaka lini na huyu ms..ng.. shigongo