Kigogo mzito serikalini shoga

Kigogo mzito serikalini shoga

Hii OFM itamtokea puani shigongo maana njaa yake ya kutafuta wanunuzi wa magazeti yake kinguvu itamponza......

Huo ni uongo kwakuwa hakuna kiongozi wa kumi anaetembea na king'ora ktk nchi hii habari hizo wataziamini lower thinkers
 
Wakimtaja naomba unishtue natoka mara moja

Kwa uelewa wa kitoto tu hakuna kiongozi wa kumi wa kiserikali anaetembelea king'ora na gari la polisi hizi ni habari za kijinga zinazoweza kueleweka kwa lower thinkers...
 
huyu kijana sijui aliwaza nini bado sijapat jibu sahihi aiseh, yani upumuliwe then utangazwe? Na picha zake kakubal ziwekwe

Huyo nasikia ni punga by nature so huenda kahongwa ili atengeneze huo uongo..

Shigongo haelewi wenye nchi wanachomuandalia mwache aendelee atayajutia mbeleni..

Binafsi mikaratasi ya rangi rangi hata headings tu huwa sisomi they are too silly and imbecilic...
 
Kwa uelewa wa kitoto tu hakuna kiongozi wa kumi wa kiserikali anaetembelea king'ora na gari la polisi hizi ni habari za kijinga zinazoweza kueleweka kwa lower thinkers...

Aaaaaah basi sawa
 
umeambiwa yupo katika watu kumi wa juu na si mtu wa kumi.halafu mbona mtu kibao wanakuwa wakali baada ya kusoma habari hii? inaonekana kuna mapunga kibao hapa.ukipinga hiyo stori bila shaka na wewe ni mfuasi wa Elton John
 
Tunafanya critical thinking and argumentation hapa hatupo kwenye kwenye vijiwe vya akina mama wapika chapati...

Huwezi tu kuamini kitu kwa kuogopa watu watakufikiriaje kwani hao mapunga wakipinga habari hii wanapata nini? Usiwe mtu mwenye akili ndogo na nyepesi isiyoweza kuchuja habari ya kuiamini na kutoiamini....

Viongozi kumi wa juu wa serikali ni wapi? Serikali hii ina viongozi wakuu watatu wa kitaifa ambao ni Rais.. Makamu wa Rais na Waziri mkuu Baraza la mawaziri na wengine huyo miongoni mwa viongozi kumi ni ni nani na hao viongozi kumi wa juu kwa vigezo gani??

Usidhani kila mtu ana ubongo unapokea mambo mepesi na reja reja kiulaini bila kufikiri kama wewe mpenda habari wa makaratasi ya rangi rangi...

JF ni home of great thinkers..... si kijiwe cha makaratasi yenu ya rangi rangi so kama unaleta habari toa mtiririko mzuri wa matini watu wakuelewe sio umbea huu wa kuvutia zile akili ndogo zisizoweza kudadisi mithili ya wafu..
 
mbona unatoka povu? umeambiwa top ten then wakakupunguzia kazi kwa kukuambia anaongozwa na mapikipiki.sisi wenye akili timamu tumemtambua.kama uko gizani just kaa kimya.
 
Daah embu tusaidiane ku count kuanzia namba moja mpaka hiyo kumi tutamjua tuu..
1. Hawezi kufanya huu upuuzi na hata hao makachero wa shigongo hawawezi kumsogelea kirahisi
2.....
3......
4.....
5......
6......
 
Ngoja kesho nipitie pale leaders club na kwa mwanangema karibu na hugo house nitamjua tuu
 
mbona unatoka povu? umeambiwa top ten then wakakupunguzia kazi kwa kukuambia anaongozwa na mapikipiki.sisi wenye akili timamu tumemtambua.kama uko gizani just kaa kimya.

Povu unatokwa wewe kwa fikra zako finyu....

Mpenda vitu vyepesi bila kushirikisha ubongo wako..

Sina haja ya kumjua mhusika haja yangu ni kuchunguza matini na kujua ukweli au uongo wa mleta mada...
 
Hii OFM itamtokea puani shigongo maana njaa yake ya kutafuta wanunuzi wa magazeti yake kinguvu itamponza......

Huo ni uongo kwakuwa hakuna kiongozi wa kumi anaetembea na king'ora ktk nchi hii habari hizo wataziamini lower thinkers

umeona enheee ndo bongo yetu hii..
 
Kweli hii ni home of great thinkers, ila humu kina watu wana act kama lower thinkers mambulula kupokea vitu bila kufikiri, tumia akili yako na yakuambia mtadanganywa mpaka lini na huyu ms..ng.. shigongo
 
Shigongo ---- sana, corner bar ipo na hoteli yke lakn anabaki kimya tu.
Tunataka corner bar iwaondee macd wote pale kama kweli OFM inafanya kazi.
 
Back
Top Bottom