Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe


Halafu wakikosa kazi wanalalamika
Bure kabisa
 
Mwanzo hakuwa akishambulia watu? Ama watu ni wale wa chadema tu
Mimi huyo kigogo hata sijawahigi ku mu follow maana siko Twitter hata kumshambulia sana magufuli baadhi ya vitu vya magufuli alikuwa ananikera kweli kweli hasa kushabikia ugonjwa wake, na baada ya magufuli kufa ili asipotee akajifamya timu CDM damudamu vile nao walikuwa Wana mchukia magufuli. So mtu yoyote anayeshambulia wengine ukiwa rafiki naye ni swala la mda tu na yeye kukugeuka.
 
Kigogo kawadanganya sana waTanzania hivi hawa si ndio walituaminisha Magufuli kalazwa Nairobi baadae India?
 
nenda Twitter kamkemee. Kama hujui handle yake tukupe.
Hayupo JF
 
What gies round come round.
Acheni Kigogo akosoe shabiki zake wapambanaji uchwala.
Ni mda sasa CDM kujifunza ka kipindi kile walimwamini Mange kumbe garasha mimi nilishangaa tena kuona CDM wanaji attach na kigogo ambaye ana agenda zake binafsi
 
ni kweli cdm nilijua tu wanataka bifu ili waendelee kupiga michango ya faini za mahakama, na pia ili akina Lissu na Lema wachangishe michango wakiwa ughaibuni. Umeona baada ya Mbowe kukamatwa wameanza kuchangishana eti ili wapate pesa za kuzunguka duniani. Bila heka heka za cdm vs polisi cdm hawawezi kupata mlo
 
Kigogo ni mpumbavu tu! Anajifanya mjuaji kumbe mjinga!
What I like about kigogo ni jinsi dishi lake linavyoyumba na kuyumbisha followers wake

kuna wakati ccm wanamchuKia, na kina wakati chadema wanamchukia

for very same reasons

maybe wenye shida ni sisi wapambe
 
Kigogo ni mpenda attention, sasa siku hizi akiangalia anaona umaarufu umekwisha baada ya kuondoka na Mwendazake. Anatapa tapa.
Mpuuzi sana huyu! Anataka kuabudiwa kama walivyo madikteta wengine!
 
What I like about kigogo ni jinsi dishi lake linavyoyumba na kuyumbisha followers wake

kuna wakati ccm wanamchuKia, na kina wakati chadema wanamchukia

for very same reasons

maybe wenye shida ni sisi wapambe
Sasa atambue kuwa he can't fool all the people all the time!
 
Sasa atambue kuwa he can't fool all the people all the time!
TOO LATE,,KWANI AMETENGEZA CHUKI HADI MAGUFURI HADI AKAUWAWA,,HUKU AKINA SSH WAKIMUAHIDI VYEO ,SAAA HATA VYEO AMEKOSWA NA CAHEDMA HAWAMUUNGI MKONO WAMEBAKI KUBANANA..HADI WANAANZA KUMKUMBUKA MAGUFURI
 
Poor chadema, wanachama milioni 8 mutawapata wapi, tokeni uwanjani tuone kama muko milioni 8 kweli mwenyekiti wenu kashikwa, acheni maneno maneno ya kwenye kanga, Zanzibar imekupiteni mara 1000 zaidi kwa siasa zenu hizi za kishamba
 
Huwa anamkubali Sana mbowe ila kuna siku atakuja mtukana vibaya Sana

[emoji1787][emoji1787]
 
Mm nilishaachana na habari za Kigogo siku nyingi, ata huko Twitter nilisha unfollow akaunt yake,
 
Kwahiyo wewe unatoka njia ipi itumike kudai katiba?

Wakati umeshaambiwa katiba isubiri kwanza?


Shauri njia gani sio kulaumu tu watu hapa!!
Alitakiwa asubiri kidogo walau hata miezi sita au mwaka mmoja aangalie uelekeo wa Mama sasa mtu hata siku mia bado wewe unasema iwe isiwe sasa tuone kama itakuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…