Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

Kigogo naona kapigwa spinning na raia kwa maneno yake ya kashfa saivi anafanya PR za Mo na matangazo ya biashara
 
Kwa hili nakwenda na Kigogo ....LISU NI MSHAMBA TU .. ANGEKUA NA UBAVU ANGEKUA TZ SASA HIVI KUMPIGANIA MBOWE. Benefits za ukimbizi zimemtia tamaa amabaki kupiga tararira kwenye media ambazo nazo response ni Zero. Lisu ni Kilaza aliechangamka.
 
Hapana mkuu! kazi ya jf ni pamoja na kuelimishana,hivyo siwezi kuvumilia kuona mtanzania mwenzangu ukimshabikia huyu LISSU, kwani utapotea.
Kuwa kwako chadema kusikupofue ubongo wako ukahisi LISSU ana akili nyingi kuliko wengine,au kila kitokacho kwa LISSU basi ukibebe kama kilivyo na kukiona cha ''kijiniazi''
Suala la ushabiki achana nalo,kama taifa tunahitaji facts.
 
Hapana mkuu! kazi ya jf ni pamoja na kuelimishana,hivyo siwezi kuvumilia kuona mtanzania mwenzangu ukimshabikia huyu LISSU, kwani utapotea.
Kuwa kwako chadema kusikupofue ubongo wako ukahisi LISSU ana akili nyingi kuliko wengine,au kila kitokacho kwa LISSU basi ukibebe kama kilivyo na kukiona cha ''kijiniazi''
Suala la ushabiki achana nalo,kama taifa tunahitaji facts.
 
Mambo mawili kuhusu Lissu nayakubali (1) Ni mbobezi wa Sheria za raslimali za madini ambaye hana mshindani Tanzania. (2) Alipigwa risasi na kikundi cha WASIOJULIKANA kilichokuwa chini ya Makonda kwa amri ya Magufuli. Na nalaani kittendo hicho kwa nguvu zote.

LAKINI
Tundu Lissu hana busara na haiba ya kuweza kuwa Rais wa Tanzania, hata kama aliibiwa kura na Mwendazake mwaka jana
 
Kwa hili nakwenda na Kigogo ....LISU NI MSHAMBA TU .. ANGEKUA NA UBAVU ANGEKUA TZ SASA HIVI KUMPIGANIA MBOWE. Benefits za ukimbizi zimemtia tamaa amabaki kupiga tararira kwenye media ambazo nazo response ni Zero. Lisu ni Kilaza aliechangamka.
vijana wa CCM bhuana 🤣 🤣 🤣
 
Kitu kingine ambacho LISSU anacho ni hakubali kushindwa.
Angejaliwa japo BUSARA kingemsaidia sana kwenye siasa.
Sasa kwa kuwa hana busara anajikuta
1>anapenda sana ubishi
2>anakosa uvumilivu kwa wenzie
3>anapenda mambo ya kukomoana
 
Mkuu LISSU huyuhuyu ndiye aliisherehesha ''LIST OF SHAME'' na baadae akazunguka nchi nzima kumnadi LOWASA.
Yeye huyuhuyu ndiye alikiri mbele ya kamera kwamba Tanzania inahitaji raisi mwenye tabia za kidikteta(akimaanisha Kikwete ni dhaifu).
Kaja MAGUFULI,Lissu kaigeuka kauli yake.


Kumbuka LISSU ndiye aliropoka ''MAENDELEO YA WATU SIYO VITU'' tanzania nzima ilimshangaa.!!
Eti huyu ndiyo shujaa wako!!??

Sema LISSU ananufaika na uwepo wa wajinga wengi
 
Mkuu relax kidogo! Kipindi Dr Slaa anaichambua list of shame Lissu alikuwa wapi? Au unataka kukana Lissu hakumponda LOWASA!!??

Halafu usidanganye eti mlipewa machaguo mawili,MAGUFULI au LOWASA.
Kamati yenu ilikaa kuchagua atakayepeperusha bendera yenu.Mlikuwa na SLAA,MBOWE na LISSU(ambao siyo mashetani),ilikuaje mumpe LOWASA mlodai mchafu?
Kama LISSU ana akili nyingi ilikuaje asiwe na ushujaa wa kumkataa LOWASA


Hivi taifa linawezaje kusema lina maendeleo pasipokuwa na vitu!?
Hivi hivyo vichwa mnatumia KUROGEA au!?
Sasa ni dhahiri unathirika kiakili,na LISSU ndiyo chanzo


Suala la udikteta LISSU mwenyewe alifafanua tofauti na wewe unavyotetea.
Kwanza lazima utambue MAGUFULI hakuwa dikteta kama mnavyoaminishana ILA alikuwa kiongozi jasiri asiyeyumbishwa na mahasidi
 
TULIWAONYA KUWA...baada ya kusherekea kifo cha bwana yule mtafuata ninyi kwa kufarakana na kushughurikiwa na wale mnaowaona watetezi wenu, Alianza yule mvaa ushungi mzenjbar mlimpa kila sifa nzur na kusema anaupiga mwingi, mara ooh ameanza vzr na apend dhuruma, aliwashughulkia mpka mmeanza kumuita the first african woman dictator[emoji23][emoji23][emoji23] haijaishia hapo na Chair wenu akatiwa mbalon kwa kesi za ugaid msmbo hayajakwisha mmeanza tena kugombana na mtoa habari wenu toka vyanzo vya kuaminika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Mpka mwaka huu unakwisha mtakuwa mmechoka sana, yaan mtachoka sana....ukwel mchungu sasa hiv hakuna mwenye unafuu, si mataga/sukums gang wala mabavicha, wote wanahemea mipira, bora yetu sie tuliogoma kushikwa na mahaba ya siasa,..poleni sana mtamaliza mwaka mmechoka sana, na bado[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kigogo anataka watanzania wapenda maguezi waanze harakati za kijasusi za kuwaondoa CCM mamlakani... Lissu anamwambia hana uzoefu wa uongozi hiyo si njia sahihi kwa nyakati hizi...

Lissu yupo sahihi...njia walizotumia wapigania uhuru wa nchi za Africa miaka 50 iliyopita unafikiri inaweza kufanya kazi karne hizi...

Why dont u use Information technology as a weapon....a tool which is very powerful these days than hiding yourself in the bush..kwanza mapori siku hizi hayapo.
 
Soma post yako #279 halafu uone kama wewe na LISSU wako mna AKILI nzuri.
Ipo hivi,kabla ya uchaguzi mkuu 2015 vyama vya siasa vilikaa kuchagua nani atapeperusha bendera ya chama chake.

CCM ilimuengua LOWASA katika hatua za awali,wakati chadema walijichelewesha kutangaza wa kwao wakisubiri waone CCM watamsimamisha nani.

Unaposema mlipewa kuchagua ''lesser devil'' au the ''biggest devil'' una maana gani?
Kwani kabla ya ujio wa LOWASA kwenu tayari mlikuwa kwenye kikao chenu hivyo mngeweza kumchagua hata LISSU apeperushe bendera.
Unaposema LOWASA alipigiwa kura, alishindanishwa na nani?

Uchaguzi mkuu ulipofika kulikuwa na wagombea zaidi ya kumi wakiwemo MAGUFULI,LOWASA, DOVUTWA,RUNGWE,ANNA MGHWIRA(RIP) nk.
Sasa unasemaje ulipewa machaguo mawili tu ama lesser devil(Lowasa) au the biggest devil(ccm na Magufuli)?

List of shame nimesema LISSU alisherehesha na kushadadia(hakuna sehemu nimesema ameandika).
Na chadema iliwahi kukiri kuwa Lowasa HASAFISHIKI,kama mlijua hilo ilikuwaje mumpokee?

Unadai mimi ninashout kisa kuandika kwa capitals,Hapana mdogo wangu jaribu kufuatilia threads zangu utagundua.
Ila wewe ndio unashout kwani tayari umeshasema mara 'ameoza mfuate' mara pumbavu, mara niache nimshabikie LISSU na mengineyo kemkem yanayolandana na hayo.
 
Matusi,kebehi, kuropoka, ujuaji na dharau ni sehemu ya maisha huko chadema tushazoea.Ila RELAX mkuu, hatugombani.
Na challenges huleta maendeleo na kuelimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…