Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Washabiki wake ndiyo wanatukana TwitterMbowe alishawahi kumtukana mtu Twitter ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washabiki wake ndiyo wanatukana TwitterMbowe alishawahi kumtukana mtu Twitter ?
Mwanzilishi wa kutukana twitter ni Kigogo je kigogo ni shabiki wa Mbowe ?Washabiki wake ndiyo wanatukana Twitter
Hapana mkuu! kazi ya jf ni pamoja na kuelimishana,hivyo siwezi kuvumilia kuona mtanzania mwenzangu ukimshabikia huyu LISSU, kwani utapotea.Aisee jifunze Kiswahili sahihi na jinsi ya kuandika insha ukaeleweka na hadhira yako
Yaani you are shitting all over the place
KIla tunachoongea hapa ni subjective na popularity contest,wewe unampenda Kigogo,mimi nampenda Lissu,objectivity is outta window,heri kila mtu abaki na ushabiki wake!
Hapana mkuu! kazi ya jf ni pamoja na kuelimishana,hivyo siwezi kuvumilia kuona mtanzania mwenzangu ukimshabikia huyu LISSU, kwani utapotea.Aisee jifunze Kiswahili sahihi na jinsi ya kuandika insha ukaeleweka na hadhira yako
Yaani you are shitting all over the place
KIla tunachoongea hapa ni subjective na popularity contest,wewe unampenda Kigogo,mimi nampenda Lissu,objectivity is outta window,heri kila mtu abaki na ushabiki wake!
Mambo mawili kuhusu Lissu nayakubali (1) Ni mbobezi wa Sheria za raslimali za madini ambaye hana mshindani Tanzania. (2) Alipigwa risasi na kikundi cha WASIOJULIKANA kilichokuwa chini ya Makonda kwa amri ya Magufuli. Na nalaani kittendo hicho kwa nguvu zote.Hapana mkuu! kazi ya jf ni pamoja na kuelimishana,hivyo siwezi kuvumilia kuona mtanzania mwenzangu ukimshabikia huyu LISSU, kwani utapotea.
Kuwa kwako chadema kusikupofue ubongo wako ukahisi LISSU ana akili nyingi kuliko wengine,au kila kitokacho kwa LISSU basi ukibebe kama kilivyo na kukiona cha ''kijiniazi''
Suala la ushabiki achana nalo,kama taifa tunahitaji facts.
vijana wa CCM bhuana 🤣 🤣 🤣Kwa hili nakwenda na Kigogo ....LISU NI MSHAMBA TU .. ANGEKUA NA UBAVU ANGEKUA TZ SASA HIVI KUMPIGANIA MBOWE. Benefits za ukimbizi zimemtia tamaa amabaki kupiga tararira kwenye media ambazo nazo response ni Zero. Lisu ni Kilaza aliechangamka.
Kitu kingine ambacho LISSU anacho ni hakubali kushindwa.Mambo mawili kuhusu Lissu nayakubali (1) Ni mbobezi wa Sheria za raslimali za madini ambaye hana mshindani Tanzania. (2) Alipigwa risasi na kikundi cha WASIOJULIKANA kilichokuwa chini ya Makonda kwa amri ya Magufuli. Na nalaani kittendo hicho kwa nguvu zote.
LAKINI
Tundu Lissu hana busara na haiba ya kuweza kuwa Rais wa Tanzania, hata kama aliibiwa kura na Mwendazake mwaka jana
Mkuu LISSU huyuhuyu ndiye aliisherehesha ''LIST OF SHAME'' na baadae akazunguka nchi nzima kumnadi LOWASA.Kumshabikia Lissu kwamba nitapotea ni maoni yako ambayo ni valid kwako,ila sio valid kwangu
Yaani ni kama na mimi nikwambie kumshabikia Kigogo au CCM unapotea,yatakua ni maoni yangu valid kwangu lakini sio kwako
Naamini Lissu tangu aanze siasa 1997 mpaka leo hajawahi mpoteza opposition yeyote kwa utendaji wake na misimamo yake yenye uzito,na misimamo yake imefanya hadi akapigwa risasi 32,ungesema asingeongea tena ila amerudi na misimamo ile ile with higher force zaidi
Siwezi amini mwingine....wewe amini wengine tu,ni haki yako!
Still unatoa maoni binafsi
Ni kama mimi nitoe maoni hapa kua unapoiamini CCM kunakupofua,which ni maoni yangu wala sio msimamo wako
Kwangu mimi na wenzangu Lissu ka prove over and over again ana akili kuliko wanasiasa wenzake wengi tu hasa hasa walioko CCM
Its like eti Msukuma umuweke level moja na Lissu,thats abomination!
Ya bungeni,akiwa mtaani mpaka akapigwa risasi,akiwa mahakamani,etc Lissu kasha prove ni heavy weight...
Kigogo kote huko hajawahi tokea,yupo nyuma ya keyboard wakati Lissu physically kapambana na madikteta na serikali macho kwa macho,unfortunately walimshindwa kwa hoja wakaamua watumie bunduki maana hoja hawamuwezi!
Mkuu relax kidogo! Kipindi Dr Slaa anaichambua list of shame Lissu alikuwa wapi? Au unataka kukana Lissu hakumponda LOWASA!!??List of Shame ni Dr Wilbroad Slaa........
Naona unamsingizia Lissu mambo mengi bila proof.....
Regardless List of Shame ni List of Shame....Mtu akiwa mchafu jana anaweza akawa msafi leo and vice versa
Tulipewa tuchague kati ya devils wawili....hapa tunatafuta lesser of a devil,Lowassa alikua lesser of a devil kuliko CCM and Magufuli
Huwezi pitisha judgement ya kipumbavu namna hiyo kwa sisi kuchagua a lesser devil in Lowassa sababu Magufuli and CCM were the biggest devils there,we had to choose!
Tatizo una literalism which is a big problem
Context is everything.....Rais dhaifu opposite yake sio dikteta,alimaanisha rais anae tekeleza vitu bila udhaifu,ndio context ya Lissu
Sio dikteta kama unavyodhani....
Dikteta kama dikteta ni kosa na hilo halitakiwi nchi yeyote,yeye alimaanisha "dikteta" kama rais anaetekeleza majukumu yake mpaka mwisho bila ulegelege
Sio dikteta wa kweli unaefikiria wewe kwenye literalism euphoria kwenye ubongo wako!
Context hapa is everything sio literalism uliyonayo!
Maendeleo ni ya Watu sio Vitu ndio,yupo sahihi
Wewe ndio haupo sahihi....
Lissu yupo sahihi kwa hili na tunamuamini....wewe na wenzako kama mnaona ni maendeleo ya vitu na sio watu ni sawa,endeleeni kunywa matope wakati mpumbavu mmoja ananunua bombadier cash
By the way hilo taahira la bombadier cash lilishakufwaaa wewe ndio umebakia na upumbavu wake aliowaachia
Wanaokubali thinking process ya Lissu ni wajinga ila wewe unaekubali thinking ya yule kilaza aliekufa na kuoza huko makaburini una akili?
Yaani hii power ya judgement unaitoa wapi wakati wote tupo level moja ya power?
Msome kwa kuelewa.Napa mtandao bambikabambika na ubakie kivyake pia na usiwapangie wengine nini chakufanya.
Nieleweshe MkuuHujanielewa!!
Miye si CHADEMA!Nieleweshe Mkuu
Soma post yako #279 halafu uone kama wewe na LISSU wako mna AKILI nzuri.Lissu kua mwanachama wa Chadema kipindi hicho haimaanishi kwamba yeye ndio aliandika
Unafanya assumptions na ku accuse people sababu tu walikua wamebeba kadi ya Chadema.
Lowassa alichaguliwa kupeperusha bendera,alipigiwa kura ndani ya chama,sio mtu mmoja alimpitisha
Let wapiga kura wachague,ndio democratic process...Wewe kumkataa sio wengine wanamkataa
Na hakuna mtu mmoja kwenye chama anaamua nani apite na nani asipite,ni kura,nyingi ndio zinapita
Lalamikia mfumo wa kidemokrasia sio una pin point mtu as if yeye ndio kapiga kura mwenyewe
Nyerere anakuambia Maendeleo ni Lazima yawe people's centred na sio vitu centred,kwahiyo Nyerere nae kichaa?
Maendeleo ni ya watu kwanza mfukoni,wapate chakula,tiba na elimu,basic needs zikishafikiwa ndio uende kununua bambadier cash
Tupo sahihi,wewe ndio haupo sahihi!
Magufuli hakua dikteta?
Mbona unakua muongo hivi and dishonest?
Unajua kabisa context aliyotoa Lissu sema unaleta unafiki na uongo,which really makes you look dishonest kabisa!
Magufuli alikua kiongozi wa hovyo,alikua na akili kidogo mno,muuaji,mvunja sheria za nchi,mgonjwa na alikufa na korona ,kashaoza huko makaburini,kamfate!
Another thing,unaandika kwa capitals which means you are shouting,thats offensive!
Matusi,kebehi, kuropoka, ujuaji na dharau ni sehemu ya maisha huko chadema tushazoea.Ila RELAX mkuu, hatugombani.Yaani wewe maiti ukisema mimi na Lissu hatuna akili basi ndio kweli hatuna akili kwasababu umesema wewe?
Wewe ni nani wa kupitisha hii judgement?
Vyama vya siasa and Lowassa and other blah blah blah ulizotoa hapo nobody cares..keep them in your butt!
Shitty post!