Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

Siikweli mbambikaji ni mbambika tu,na ukitaka kuona fitna ni pale mtu atakapoona maslahi yake yako shakani,ataweza kufanya chochote hata zaidi ya bambika ugaidi.
 
Sawa ni maoni ya mwanakijani mmoja katili anayeamini katika ukatili na anayefurahia bambikabambika, kwake haki ni shubiri. Ni maoni tu.
Wewe ni mgeni na posts zangu. Tafuta humu post zangu za miaka 5 nyuma uone namna nilivyowapigania CDM na vyama vya UPINZANI dhidi ya udhalimu wa Mwendazake.

Tatizo ambalo mnakosea mnataka kuifanya pengine JF ni CHADEMA, yaani vile Mbowe na Lissu wanafanya UJINGA mnakaa kimya as if nyinyi ni BAVICHA au BAWACHA.

Kama Mbowe angekuwa anakubali ushauri na kukosolewa KAMWE asingeacha msiba kwenda Mwanza na yasingempata yaliyompata. Hana busara na ndiyo maana hata Kigogo anaonekana ni mpinzani wao kwa vile HAUNGI mkono mawazo ya KIJINGA ya LISSU
 
Washamba ujificha, Washamba upanic, Washamba ujifanya wanajua kila kitu ili wasikosolewe, Washamba uzusha, hakika Washamba wakikosa ajenda ya kusimamia uwa wanaona kila binadamu ni adui wa maendeleo yao.

.

Hili tatizo la kuweka “U” panapohitajika “HU” na “HU” panapohitajika “U” linazidi kuota mizizi JF na linakera kinoma yani!

Una hoja lakini unamchosha msomaji inabidi mtu kujiongeza ili ku-catch ulichomaanisha sasa huo muda wa kufanya hivyo uko wapi?jirekebisheni!!!
 

Ndo katiba mnayogombea inataka mtu awe na freedom of speech, yaani uhuru wa kuwa na maoni!
 
Nakazia hapa...
 
Tena uache ubaguzi wa kiitikadi Tanzania ni moja ila mnjaribu kuigawa kwa maslahi yenu, kwa woga wa maslahi yenu kupote, pamoja na yote hayo Watanzania tunaitaka katiba mpya.
 
Huyo kigogo anayejiita shemasi ni 'mpuuzi' flani kajificha kwa mzungu, Tutamlipua tu soon.

Kwanza hana hata hadhi ya kumlinganisha na TL, hata Mdude hamfikii, wenzake wako 'battlefield' yeye kazi yake kupika majungu na umbea na ku'insult watu, halafu anajiita whistleblower.

Akili kubwa gani unaingizwa Chaka na Jasusi proCCM Chahali.
 
Umenena jambo zito sana, mwenye akili na alikiri hilo.
 
Mpaka unajiuliza nini kimewapata hawa watu ambao kwa Mwendazake waliufyata miaka 5. Mwendazake kawapiga risasi, kavunja Bilicanas na kavunja na mashamba yake, kamchukulia na fedha kwenye akaunti. Hajawahi hata kulalamika.

Samia kamrudishia akaunti, kesi zao za kubambika zikapigwa chini pamoja na ya MDUDE. Halafu wao ndiyo wa kwanza kusema HATUWEZI KUMBEMBELEZA Samia. Shenz taipu Bladifakeni Mbowe
 
Kigogo ni huyo February , Kwa sasa amehamisha mashambulizi Kwa Chadema sababu ameona biggest threat kwake ambaye alikuwa ni jiwe sasa hayupo na kuelekea 2025 atapiga U-turn yeye na watoto wa vigogo wa CCM, kujitaftia madaraka na kumpiga chini SSH , mda haujawahi kudanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…