Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

Unajidanganya,kigogo ana IQ kubwa kuliko LISSU
 
Tundu lissu niliachana nae kwenye makinikia, anaongea na kubadilika kama kinyonga, ameng'ang'ana kuhojiwa kwenye TV sijui yana msaidia nini, unatakiwa uwe mtu wa viendo zaidi kuliko maneno meeeeengi with zero actions, yeye ni mtu wa tuhuma tuhuma with zero solutions.
 
Makamanda wamebaki wanashangaa hawajuhi la kufanya maana Kigogo ndiyo mshauri wao.
 
Zile trillion 500 za makinikia tulizoambiwa na mwendazake ziliishia wapi mkuu? 🤣 🤣 Kwenye jibu lake ndo utajua kati ya mwendazake na Lissu nani alikuwa na akili timamu
 
Nimescreenshot hii post,itafaa sana siku za mbeleni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kigogo alikuwa ni zaidi ya kamati kuu pale chadema
 
Makamanda wamebaki wanashangaa hawajuhi la kufanya maana Kigogo ndiyo mshauri wao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kigogo na mange ni zaidi ya kamati kuu yao!
 
Leo hii umemgeuka?
 
Ukute hujawahi ata kuongoza Bata kumi taasisi Kama chadema wew unaipangia nn
 
Kigogo lazima akubali alichemka kuhemka kuhusu violence wakati anajua upo mtego wa kisheria ambao ccm na msajili angetumia Kama kigezo Cha kuanza kutaka kuifuta Chadema. Na alipata wafuasi wengi ila Mnyika alivyotoa ufafanuzi watu wakamgeuka kigogo na kumwona Kama anatumika kuwapumbaza Chadema. Lakini pia njia ile aliyotumia Kigogo kwa kuwa hakuna anayemjua na kwa kuzingatia baada ya JPM kuondoka ni kama ameishiwa hoja na anaonekana kumsapoti aliyepo au watu aliotaka wapate madaraka wamepata ndiyo maana Tundu Lissu akamchana.

Kuchanwa ndo kamaindi na watu wamemkacha amebaki kujibizana na kujibu mtu mmojammoja kitu ambacho zamani alikuwa hana muda.

Chadema kukataa ushauri wa Kigogo wametumia mbinu kubwa Sana na Kigogo alipaswa kuwapongeza kwakuona mbali zaidi yake.
 
Umenena jambo zito sana, mwenye akili na alikiri hilo.
Upinzani kama upinzani
Chadema huwa mnajisahau mjue nyie haya
Kuitwa mjinga wakati ukijua si mjinga Moyo utasumbuka
Vaeni kiatu cha aliyeitwa mjinga
Sijui
 
Binafsi sijafurahishwa kabisa! Jamaa anajikuta yeye malaika yaani.
 
Kwani Tundu Lissu siyo mshamba?
 
Kwa mara ya kwanza kigogo ameongelea ukweli, Tundu Lissu si mshamba bali mpuuzi na mbinafsi
 
Word....Could not be summed up better.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…