Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 70
Anakataa kulipa kodi ( kwa serikali) anakataa kutoa rushwa! Hana afadhali.Yote siyo mema.anaonewa kwa kuwa amekataa kutoa rushwa.huyu jamaa namfaham anamsimamo sana.zengwe tu hili.
Hata viongozi wa dini wanafanya makosa ila kwa kuwa mtu aliye juu ya sheria, sheria itachukua mkondo wake na ukweli utajulikana. Na hao wanaouza dawa za kulevya kama wapo watasakwa na mwisho wa siku watafikishwa wanakostahili kwa mkondo wa sheria pia.
anaonewa kwa kuwa amekataa kutoa rushwa.huyu jamaa namfaham anamsimamo sana.zengwe tu hili.