Kigogo wa Bakwata kufikishwa mahakamani leo

Kigogo wa Bakwata kufikishwa mahakamani leo

Nani kasema mashekh na wachungaji hawatendi dhambi? acha PCCB wafanye kazi yao kama wanamwonea itajulikana mahakamani.
 
suala la matumizi mabaya ya misamaha ya kodi kwenye taasisi za dini haliko kwa bakwata tu kila mmoja anajua hilo lakini thread iliyoko mbele yetu haijasema wachungaji hilo linakujaje. au udini unasumbua watu hapa?
 
ndo maana naungana na mstafa Nkulu, finance minister kuwa misamaha kwa mashirika ya dini IFUTWE KABISA.
 
misamaha za kodi kwenye taasisi za dini nchini ifutwe ni kichaka cha kukwepa kodi kwa dini zote. jk alijaribu kufuta akapambana na upinzani mkubwa. pesa nyingi tunapoteza.
 
Hata viongozi wa dini wanafanya makosa ila kwa kuwa mtu aliye juu ya sheria, sheria itachukua mkondo wake na ukweli utajulikana. Na hao wanaouza dawa za kulevya kama wapo watasakwa na mwisho wa siku watafikishwa wanakostahili kwa mkondo wa sheria pia.
 
Umenena kweli. Jibu lako lina uzito.
 
anaonewa kwa kuwa amekataa kutoa rushwa.huyu jamaa namfaham anamsimamo sana.zengwe tu hili.

Kumfahamu si hoja hata kama ni kaka yako bado kumtetea bila vielelezo unaonekana juha. Peleka ushahidi mahakamani kama ulikuwepo wakati anakataa kutoa rushwa pia nenda kaimbie mahakama kwamba ana msimamo mkali ndio maana anahusishwa na kukwepa kodi.
 
Back
Top Bottom