Hata kwa kumuangilia tu unajua jamaa sio mtu wa njia zilizonyooka!04 June 2026
Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu, Dar es Salaam
Tanzania
MAKONTENA MAWILI WA MADAWA YA KULEVYA
Mahakama yaelezwa kontena dawa za kulevya lilivyoingizwa Tanzania
57 minutes ago — Riziki Shaweji ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni NRM Agro mkaazi Masaki jijini Dar es Salaam kigogo wa kampuni inayohusika kuingiza na kusambaza mbolea ya NRM Agro Limited na wenzake wanadaiwa kuingiza shehena ya madawa ya kulevya aina ya Mitragyna Specioza uzito wa kilo 11, 596
View attachment 3601175
View attachment 3601176
Watu wengi wanakula na wakubwa hawaguswiTOKA MAKTABA
27 September 2024
View attachment 3601177
Picha maktaba : Early today our NRM GROUP COMPANY LTD President, Mr. Riziki Shaweji, engaged in a productive business forum in Muscat, Oman
Shaweji mfumo umemtupa ndio maana kadakwa, wako wengi mno ila wengine bado wanalindwa
Umizeni vichwa muwajueSalaam Mkuu Erythrocyte .
Mbona kama sijakuelewa? Kwani Mfumo unahusikaje na hii biashara haramu? Kama unawahamu wachache ambao bado wanalindwa, naomba utumie jukwaa hii kuwaweka hadharani.
Ahsante
Kuna asiyewafahamu?Salaam Mkuu Erythrocyte .
Mbona kama sijakuelewa? Kwani Mfumo unahusikaje na hii biashara haramu? Kama unawahamu wachache ambao bado wanalindwa, naomba utumie jukwaa hii kuwaweka hadharani.
Ahsante
Mimi natamani na siku mfumo umtupe kila mhusika wa oct. 29 massacreShaweji mfumo umemtupa ndio maana kadakwa, wako wengi mno ila wengine bado wanalindwa
Wajinga huwa tunawambia huwezi kutajirika kwa kazi halali, huku mitandaoni utadanywa Sana Bamia zinalipa, Parachichi ni utajiri🤣🤣04 June 2026
Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu, Dar es Salaam
Tanzania
MAKONTENA MAWILI WA MADAWA YA KULEVYA
Mahakama yaelezwa kontena dawa za kulevya lilivyoingizwa Tanzania
57 minutes ago — Riziki Shaweji ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni NRM Agro mkaazi Masaki jijini Dar es Salaam kigogo wa kampuni inayohusika kuingiza na kusambaza mbolea ya NRM Agro Limited na wenzake wanadaiwa kuingiza shehena ya madawa ya kulevya aina ya Mitragyna Specioza uzito wa kilo 11, 596
View attachment 3601175
View attachment 3601176
How?Hata kwa kumuangilia tu unajua jamaa sio mtu wa njia zilizonyooka!
Kuna asiyewafahamu?