baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Utalipwa tarehe 50Hapo ulipo naweza supply zao gani?
Serikalini kuna pesa ukibahatika kupata zabuni ya kuwalisha zao lolote lile.
Utalipwa tarehe 50Hapo ulipo naweza supply zao gani?
Serikalini kuna pesa ukibahatika kupata zabuni ya kuwalisha zao lolote lile.
Hii inajulikana.Utalipwa tarehe 50
Kaka sauti yako iko juu sanaHii inajulikana.
Ukiwa na mtaji mdogo unaweza kufilisika zabuni za serikali.
Usiwe na njaa.
Hapana huyo mrangi hafahamu vizuri. Scanner haziwezi kuwa mbovu zote.Kwa Africa yote yanawezakana unakumbuka kipindi cha JPM hizo scanner zilikuwa hazifanyi kazi walidai mbovu.
mrangi huko pia ni uwanja wake wa nyumbani inawezekana kufanyika
😁😁😁 Cc Juma jux cc Diamond platinumAlafu motivation speaker,utawasikia pambana,amka ufanikiwe- mnashangaa mbona wenzetu wana sukuma vyuma vya wajerumani na wajapani kirahisi? Kumbe nyuma kuna michezo myeusi-unakuta msanii anasukuma gari Mercedes Benz G-wagon kirahisi tu! Mziki wake hata Zambia haufiki!
😄😄😄 Na cream Yao yote ya WCB kwanza billnas namjua kuhusu kuuza bwimbwi hiyo sio story alikuwaga anashindwa kinondoni mkwajuni nyuma ya msikiti wa alharamain Kwa don mmoja hivi muuza bwimbwi akiwa pamoja na kina Mr blueBillnas huyo
😁😁😁 Huyu itakuwa wameamua kumtoa sadaka itakuwa kaenda against nao
Mr blue nae yumo?😄😄😄 Na cream Yao yote ya WCB kwanza billnas namjua kuhusu kuuza bwimbwi hiyo sio story alikuwaga anashindwa kinondoni mkwajuni nyuma ya msikiti wa alharamain Kwa don mmoja hivi muuza bwimbwi akiwa pamoja na kina Mr blue
Huyo alishawahi kuwa Teja kabisaaMr blue nae yumo?
Ila aliwahi kupona?Huyo alishawahi kuwa Teja kabisaa
Yeah kapona Alikwenda sobber kimya kimyaIla aliwahi kupona?
Kipi kinafanya mtu awe teja mbona wengine wanakunywa bila kua matejaYeah kapona Alikwenda sobber kimya kimya
Honestly Sina uzoefu na hayo mambo so siwezi kuwa na jibu sahihiKipi kinafanya mtu awe teja mbona wengine wanakunywa bila kua mateja
Mbona utafiti niliofanya unaonyesha haya sio kundi la madawa ya kulevya kuanzia sheria za kimataifa mpaka Shirika la Umoja wa Mataifa UN hawataji hizi ni kundi la madawa ya kulevya ?
Huyo mchaga kakurupuka,
View attachment 3602974
Wengine wanaingia kwa ajili ya ku boost nguvu za kiume, kama kuna mwanamke anapenda watu wenye pumzi za kutosha akiingia kwa teja achomokiUkizidisha uhuni na starehe kwa sana lazima utatumia madawa at some point
Wengi sana wameshaonja madawa kwenye maisha yao ya uhuni ila wengine miili yao imegomea hayo madawa, wengine wanatumia ila hawana addiction ila ni watumiaji au walishatumia wao wenyewe wakaacha
Tatizo la madawa ya kulevya na pombe ni addiction