Kigogo wa NRM Agro Limited na wenzie 10; Mahakamani kwa makosa ya dawa za kulevya

Kigogo wa NRM Agro Limited na wenzie 10; Mahakamani kwa makosa ya dawa za kulevya

Wote wakina langa unyamwezi ulizidi mambo ya kuiga mambo ya kugongeana msuba,nitembeze chata kumbe ndani watu wamechanganya
Sahv kdg lymo anapambana na my friend
Ukiingia mkononi mwake 😄
Hutoki

Ova
Lyimo anafukuza mwizi kimya kimya ukijaa kwenye target huchomoki. Uzuri ni mtu wa field na angle zote anazijua
 
Nakueleza from experience, huwezi out kwenye system mzigo ambao haujapita scanner. System inakataa na ikikataa unakuwa incomplete.
Gari ikipita Scanner, wale walinzi wa getini si chochote wao wanaangalia kwa macho container number kisha wanalinganisha na gate pass& release order. Mlinzi wa getini yeye anaangalia usahihi wa mzigo kwa jumla sio kilichopo ndani na analinganisha na nyaraka zinazokurusu utoke kihalali.
 
Hayo matango usiniambie.
Nililima mwaka juzi yakazaa balaa.
Bei ndogo hasara silimi tena labda kidogo ya kula.
Nimejaribu kulima mazao mengi sana nyanya, vitunguu, tikiti, mahindi, alizeti, mihogo, hoho, viazi lishe, pilipili mbuzi au habanero au mwendokasi.
Nimelima ndizi, papai.
Sasa napanda minazi mingi sana.

Kilimo unatakiwa ujue soko lako, muda sahihi, eneo sahihi na kiwango cha kulima kwa usahihi. Ukikosea kimojawapo ya hivyo tu utakichukia kilimo wakati mazao hayo hayo wenzio wanapiga pesa ndefu.
Ulikosea kulima kila kitu. Unatakiwa uchague mazao matatu hivi ya kufa nayo. Sasa wewe unalima kwa kufuata upepo.

Kila zao hapo lina hela yake kulingana na vigezo ulivyotaja. Ila huwezi kuwa Jack of all trades.
 
Akistaafu atakuja kuchekwa kuwa kiko wapi huyu alijifanya mzalendo muone hana kitu.
Hii imekua miongoni mwa vichocheo vya watumishi wazalendo, wafia nchi kuamua kujiingiza katika ufisadi/rushwa nk wakistaafu hawana kitu wanachekwa/wanadharauliwa na jamii hii hii ambayo iliwasifia kwa uzalendo wao wakiwa kazini ilihali yaliyokua majizi yakistaafu na ukwasi wa kutosha jamii inawaheshimu na kuwaita majina mengi mazuri. Mfano angalia jamii inavowachukulia watoto wa Nyerere,
 
Ulikosea kulima kila kitu. Unatakiwa uchague mazao matatu hivi ya kufa nayo. Sasa wewe unalima kwa kufuata upepo.

Kila zao hapo lina hela yake kulingana na vigezo ulivyotaja. Ila huwezi kuwa Jack of all trades.
Sikulima kwa wakati mmoja.
Yapo yaliyonipa pesa nzuri mfano pilpili mbuzi/mwendokasi (habanero).
 
Lyimo anafukuza mwizi kimya kimya ukijaa kwenye target huchomoki. Uzuri ni mtu wa field na angle zote anazijua
Miezi 2 nyuma alimkamata papa mmoja jina kapuni hko
Maeneo ya mbweni
Yule papa alikuwa anacheza
Sana south africa na bongo
Na bongo jamaa limewekeza linamijumba kibao, ila mwamba yuko nyuma ya nondo sahv..
Media za kibongo zimelala wanapishana na habari nyingi sana


Ova
 
Gari ikipita Scanner, wale walinzi wa getini si chochote wao wanaangalia kwa macho container number kisha wanalinganisha na gate pass& release order. Mlinzi wa getini yeye anaangalia usahihi wa mzigo kwa jumla sio kilichopo ndani na analinganisha na nyaraka zinazokurusu utoke kihalali.
Jamaa alikuwa anasema gari inatoka nje bila kupita scanner eti operators wanazuga wanakunywa chai inapita juu kwa juu. Sasa nilikuwa namuelimisha mrangi mambo hayaendi kienyeji hivyo.
 
Jamaa alikuwa anasema gari inatoka nje bila kupita scanner eti operators wanazuga wanakunywa chai inapita juu kwa juu. Sasa nilikuwa namuelimisha mrangi mambo hayaendi kienyeji hivyo.
Kwa Africa yote yanawezakana unakumbuka kipindi cha JPM hizo scanner zilikuwa hazifanyi kazi walidai mbovu.

mrangi huko pia ni uwanja wake wa nyumbani inawezekana kufanyika
 
Kwahiyo kuuza mbolea ni biashara ya kuzugia

Alafu motivation speaker,utawasikia pambana,amka ufanikiwe- mnashangaa mbona wenzetu wana sukuma vyuma vya wajerumani na wajapani kirahisi? Kumbe nyuma kuna michezo myeusi-unakuta msanii anasukuma gari Mercedes Benz G-wagon kirahisi tu! Mziki wake hata Zambia haufiki!
Na sharti lazima uwe mwanachama wambogamboga
 
Back
Top Bottom