Kigogo wa NRM Agro Limited na wenzie 10; Mahakamani kwa makosa ya dawa za kulevya

Kigogo wa NRM Agro Limited na wenzie 10; Mahakamani kwa makosa ya dawa za kulevya

Kwanini mkuu
Kwanza inabdi usume mchezo,haya mambo yanaenda na chain
Mgawanyo wa hela
Yaani mpaka askari wa getini wa icd yupo kwenye mchongo
Huyu jamaa kunasa ujuwe alikuwa anakula pekee yake

Kikubwa tu uelewe,unapanya mambo haramu ipo siku utakuja kulipa tu kama pesa,mali utashangaa zinarudi huko hko kwenye kutatulia kesi zako

Ova
 
04 June 2026
Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu, Dar es Salaam
Tanzania

MAKONTENA MAWILI WA MADAWA YA KULEVYA

Mahakama yaelezwa kontena dawa za kulevya lilivyoingizwa Tanzania

57 minutes ago — Riziki Shaweji ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni NRM Agro mkaazi Masaki jijini Dar es Salaam kigogo wa kampuni inayohusika kuingiza na kusambaza mbolea ya NRM Agro Limited na wenzake wanadaiwa kuingiza shehena ya madawa ya kulevya aina ya Mitragyna Specioza uzito wa kilo 11, 596
View attachment 3601175
View attachment 3601176
Duh!....
 
Kuna miaka fulani madawa yalikuwa yanaingizwa kutoka kutoka huko far east
Wanazijumuisha na misaada inaylletwa kama misaafu sijui Sanda nk
Humo Humo ndani wanachomekea mizigo
Wakashtukiwa ndy watu wakaja na strategy nyingine

Ova
Njia gani wanatumia kuwashawishi watu watumie madawa? Sababu huwa najiuliza tunaona mateja kama Chid benz alivyosota lakini watu bado wanajiingiza kuvuta.
 
Njia gani wanatumia kuwashawishi watu watumie madawa? Sababu huwa najiuliza tunaona mateja kama Chid benz alivyosota lakini watu bado wanajiingiza kuvuta.
Kuiga maisha fulani,
Kugongea bangi kmbe wengine wana mix na madawa
Mjanja yoyote hawezi kujiingiza huko
Kuna wale mapunda nao waliyokuwa wanabeba tumboni wale lazima wa sniff
Ili kukata mavi
Mkuu kuna watu wako na taaluma zao na shule ipo na wanatumia madawa ni starehe waliyojichagulia
Mtu kama chidy ujanja ulikuwa mwingi unyamwez sijui mwisho akajiingiza
Suala la madawa mtu yoyote anaweza ingia inategemea na makundi
Ila kama akili yko iko timamu haiyumbishwi,Fata mkumbo
Huwezi jiingize huko

Ova
 
Njia gani wanatumia kuwashawishi watu watumie madawa? Sababu huwa najiuliza tunaona mateja kama Chid benz alivyosota lakini watu bado wanajiingiza kuvuta.
Nlikuwa n rafiki zangu watoto wa mzee mzena miaka hiyo
Sahv wawili RIP wao walijiingizaga huko
Mzee wao alikuwa bize hana muda na familia wale watoto walikuwa na kila kitu
Wanapata,wakidakwa wanaachiwa maana ni waraaibu tayari walivutaa wee mwishowe wakaanza kujidunda sindano,na ukishafika hatua ya kujidunga hyo bye bye

Ova
 
Kuiga maisha fulani,
Kugongea bangi kmbe wengine wana mix na madawa
Mjanja yoyote hawezi kujiingiza huko
Kuna wale mapunda nao waliyokuwa wanabeba tumboni wale lazima wa sniff
Ili kukata mavi
Mkuu kuna watu wako na taaluma zao na shule ipo na wanatumia madawa ni starehe waliyojichagulia
Mtu kama chidy ujanja ulikuwa mwingi unyamwez sijui mwisho akajiingiza
Suala la madawa mtu yoyote anaweza ingia inategemea na makundi
Ila kama akili yko iko timamu haiyumbishwi,Fata mkumbo
Huwezi jiingize huko

Ova
Hapo kweli dunia ya sasa hivi inahitajika uwe na akili isiyoyumbishwa.
 
Alafu motivation speaker,utawasikia pambana,amka ufanikiwe- mnashangaa mbona wenzetu wana sukuma vyuma vya wajerumani na wajapani kirahisi? Kumbe nyuma kuna michezo myeusi-unakuta msanii anasukuma gari Mercedes Benz G-wagon kirahisi tu! Mziki wake hata Zambia haufiki!
😂😂😂
 
Sasa kama boss /kamishna wa DCEA anatishiwa hawa wengine wa chini watakua na nguvu.?

Thread 'Ni nani anamtishia maisha Kamishna wa kupambana na Dawa za Kulevya?' Ni nani anamtishia maisha Kamishna wa kupambana na Dawa za Kulevya?

Nakupa task moja nyepesi ili uwajue importers wa narcotics nenda katafute bei katika soko la dunia ya heroin , methamphetamin, fentanyl, cocaine zote tafuta tu bei katika pound au gram.

Hapo nimekutajia tu final products ambazo zinaingizwa kwenda moja kwa moja sokoni kwa watumiaji, sijataja precusor chemicals ambazo zinakua imported kwa ajili ya kumalizia product kamili au mchanganyo katika maabara zao local.
Mzee wangu nzowa mwenyewe alitishiwa sana
Lakini aliendelea kuwakanda
😄
Nzowa kuna wakati nje ya geti lake alipelekewa zawadi ya gari 😄 akabaki anashanga sema mzee nzowa alikuwa kanyooka kama ruler
Hizi kazi zina mitego,huyu lymo watu wajuwe tu si mtu wa mchezo mchezo 😄

Ova
 

Jamaa mapicha picha mengi amepiga na vigogo wenye vyeo vya kibalozi, mawaziri, misafara ya Viongozi ndani na nje ya nchi n.k yapo Instagram n.k

Ndiyo maana alipoitwa Kwanza na DCEA aligoma na kujifaragua pengine alikuwa anawapigia simu wazime msala lakini wakamtosa kuwa kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe
 
Mzee wangu nzowa mwenyewe alitishiwa sana
Lakini aliendelea kuwakanda
😄
Nzowa kuna wakati nje ya geti lake alipelekewa zawadi ya gari 😄 akabaki anashanga sema mzee nzowa alikuwa kanyooka kama ruler
Hizi kazi zina mitego,huyu lymo watu wajuwe tu si mtu wa mchezo mchezo 😄

Ova
Naam, kama ulivyowaambia watu kuwa hakuna wazalendo pale na kama,watu hawawezi kuwajua hao wauza unga basi wakaangalie wale waliochangia pesa kwenye kampeni za CCM waone vile viwango wafahamu ile ni kinga ya kudumu mtu anajiwekea sasa we ofisa wa chini kamguse uone .
 
Back
Top Bottom