Kigogo wa NRM Agro Limited na wenzie 10; Mahakamani kwa makosa ya dawa za kulevya

Kigogo wa NRM Agro Limited na wenzie 10; Mahakamani kwa makosa ya dawa za kulevya

Haya mambo yanafanyika sana tena Kuna Kuna wamiliki wa ICD kadhaa ndy michezo yao,we watonye tu una mizigo siyoo wao watajuwa namna gani wanakutengenezea mazingira haya mambo yanaenda na connection
Mtu wa icd,watu wa usalama,walinzi wa getini

Ova
Swadakta
 
04 June 2026
Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu, Dar es Salaam
Tanzania

MAKONTENA MAWILI WA MADAWA YA KULEVYA

Mahakama yaelezwa kontena dawa za kulevya lilivyoingizwa Tanzania

57 minutes ago — Riziki Shaweji ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni NRM Agro mkaazi Masaki jijini Dar es Salaam kigogo wa kampuni inayohusika kuingiza na kusambaza mbolea ya NRM Agro Limited na wenzake wanadaiwa kuingiza shehena ya madawa ya kulevya aina ya Mitragyna Specioza uzito wa kilo 11, 596
View attachment 3601175
View attachment 3601176
Ndio maana mm nawambiaga vijana tuache tamaa na vya watu. usione watoto wadogo wanasukuma mandinga makari ukajiona wewe umechelewa, hao wenzio ni Marisk take's hawaoni shida kufanya lolote ilimradi waishi kifahari.
 
Alafu motivation speaker,utawasikia pambana,amka ufanikiwe- mnashangaa mbona wenzetu wana sukuma vyuma vya wajerumani na wajapani kirahisi? Kumbe nyuma kuna michezo myeusi-unakuta msanii anasukuma gari Mercedes Benz G-wagon kirahisi tu! Mziki wake hata Zambia haufiki!
Wanakuambia "mimi nilianza kutembeza magimbi mtaani kabla ya kufikia hapa nilipo" 😀
 
Mkuu ningekuwa nawahamu nisingekuuliza au kukuomba uwataje. Nipo tayari sasa kuisikia hiyo list ya hao wafanya hii biashara haramu.
Ahsante
​
Sasa kama boss /kamishna wa DCEA anatishiwa hawa wengine wa chini watakua na nguvu.?

Thread 'Ni nani anamtishia maisha Kamishna wa kupambana na Dawa za Kulevya?' Ni nani anamtishia maisha Kamishna wa kupambana na Dawa za Kulevya?

Nakupa task moja nyepesi ili uwajue importers wa narcotics nenda katafute bei katika soko la dunia ya heroin , methamphetamin, fentanyl, cocaine zote tafuta tu bei katika pound au gram.

Hapo nimekutajia tu final products ambazo zinaingizwa kwenda moja kwa moja sokoni kwa watumiaji, sijataja precusor chemicals ambazo zinakua imported kwa ajili ya kumalizia product kamili au mchanganyo katika maabara zao local.
 
Inaelekea kwenye uingizaji wa mbolea,huwa anachomekea mizigo....pia
Hawa watakuwa wamechomana..
Maana mzigo kama huo ukifika ICD lazima waje watu wa security ukaguzi,kontena linafunguliwa seal ...watu wanachkua chao seal inarudushiwa maisha yanaendelea

Ova
Hiyo container yao pia ilikamatwa ICD nadhani Azam mwaka jana wakati wa ukaguzi. Kwenye kuagiza alikuwa na raia kama watano wa Sri Lanka

 
Jamaa fala kweli kwenye nyimbo yake mpya hii kuna mistari anajisifia kabisa ku supply nilisikia hadi nikawaza huyu bwege anajiamini vp, hata dogo hamidu ngoma yake moja anasema.. wanao sniff na ku snore me ndo nawa control, pesa hua inampa mtu kiburi cha kijinga wanajisahau kabisa au labda wanafkiri wametumia tafsida watu hatuwezi elewa.
Wimbo gani mkuu
 
Haya mambo yanafanyika sana tena Kuna Kuna wamiliki wa ICD kadhaa ndy michezo yao,we watonye tu una mizigo siyoo wao watajuwa namna gani wanakutengenezea mazingira haya mambo yanaenda na connection
Mtu wa icd,watu wa usalama,walinzi wa getini

Ova
Watu wa usalama unamaanisha police?
 
Back
Top Bottom