Kigogo wa NRM Agro Limited na wenzie 10; Mahakamani kwa makosa ya dawa za kulevya

Kigogo wa NRM Agro Limited na wenzie 10; Mahakamani kwa makosa ya dawa za kulevya

Wataalamu wa mitishamba watujuze, kwani huu mjani hauoti kwetu na unaitwaje?

1780610818053.png
 
Wataalamu wa mitishamba watujuze, kwani huu mjani hauoti kwetu na unaitwaje?

View attachment 3601361
Upo sana km mpera kuna sehemu niliwahi kuiona mingi tu imejiotea yenyewe kando ya mto ila sikumbuki ni wapi, sema huo km mlungi stimu yake ni gomba mchanganyo wa tumbaku mbichi mixer kuberi kichwa lazima kisimame wima
 
Alafu motivation speaker,utawasikia pambana,amka ufanikiwe- mnashangaa mbona wenzetu wana sukuma vyuma vya wajerumani na wajapani kirahisi? Kumbe nyuma kuna michezo myeusi-unakuta msanii anasukuma gari Mercedes Benz G-wagon kirahisi tu! Mziki wake hata Zambia haufiki!

Hata huyu Fuledi na hizi biashara zake za madawa ipo siku tutajua tu ukweli...muda ni rafiki mzuri
 
Back
Top Bottom