Kigogo wa NRM Agro Limited na wenzie 10; Mahakamani kwa makosa ya dawa za kulevya

Kigogo wa NRM Agro Limited na wenzie 10; Mahakamani kwa makosa ya dawa za kulevya

Kuiga maisha fulani,
Kugongea bangi kmbe wengine wana mix na madawa
Mjanja yoyote hawezi kujiingiza huko
Kuna wale mapunda nao waliyokuwa wanabeba tumboni wale lazima wa sniff
Ili kukata mavi
Mkuu kuna watu wako na taaluma zao na shule ipo na wanatumia madawa ni starehe waliyojichagulia
Mtu kama chidy ujanja ulikuwa mwingi unyamwez sijui mwisho akajiingiza
Suala la madawa mtu yoyote anaweza ingia inategemea na makundi
Ila kama akili yko iko timamu haiyumbishwi,Fata mkumbo
Huwezi jiingize huko

Ova
Ukizidisha uhuni na starehe kwa sana lazima utatumia madawa at some point

Wengi sana wameshaonja madawa kwenye maisha yao ya uhuni ila wengine miili yao imegomea hayo madawa, wengine wanatumia ila hawana addiction ila ni watumiaji au walishatumia wao wenyewe wakaacha

Tatizo la madawa ya kulevya na pombe ni addiction
 
Amesema watanzania waliokamatwa ni Riziki Abdallah Shawej (40), Andrew Athanas Nyembe (34), Mariam Shaban Mgatila (40), Ramadhan Sanze Said (57) na Godwin Melchory Maffikiri (40).
Sisi Wagalatia kwa kuiga tu fani za wengine sijui tukoje? Halafu tunapendaga kuiga baadaye tunakuwa ma master hata kuliko watangulizi.

hydroxo Tanganian

adriz de mbusii
 
Hiyo container yao pia ilikamatwa ICD nadhani Azam mwaka jana wakati wa ukaguzi. Kwenye kuagiza alikuwa na raia kama watano wa Sri Lanka

Miezi km 2 icd moja hv jina kapuni,watu walitia timu kwenye ukaguzi wa kontena
Likafunguliwa watu wakachukua chao wakasepa,according to agent aliyoona ule mchezo alinambia ,issue ilipangiliwa vzr sana watu wakasepa ,si unajuwa kuna kontena zingine zikija watu wanachangia kwa pamoja

Sasa,hapo agent maskini ya mungu hajuwi lile wala lile unaoenda kichwakichwa

Ova
 
Mzee wangu nzowa mwenyewe alitishiwa sana
Lakini aliendelea kuwakanda
😄
Nzowa kuna wakati nje ya geti lake alipelekewa zawadi ya gari 😄 akabaki anashanga sema mzee nzowa alikuwa kanyooka kama ruler
Hizi kazi zina mitego,huyu lymo watu wajuwe tu si mtu wa mchezo mchezo 😄

Ova
Lyimo tangu wakati ule akiwa dso kahama hakuwaga mtu wa mchezo mchezo. Namkubali.
 
Scanner haitambui content ya substance ila inatambua umbo kwamba huu ni unga, hizi ni chenga, hiki ni kitu kama kitanda. Scanner si ni kama picha tena hafifu, ukionyeshwa picha ya unga utajua huu ni wa mahindi au muhogo?
At least wewe umeongea kitu kina make sense.
 
Ilo la kwenda kunywa chai halifanyi mzigo usipite scanner. Labda uniambie mbinu nyingine maana mzigo usipoonekana kwenye system kuwa haujapita scanner hauwezi kupita getini.
Watu wakija na mizigo yao walikuwa wanapitaje customs????

Achana na scanner nk

Ova
 
04 June 2026
Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu, Dar es Salaam
Tanzania

MAKONTENA MAWILI WA MADAWA YA KULEVYA

Mahakama yaelezwa kontena dawa za kulevya lilivyoingizwa Tanzania

57 minutes ago — Riziki Shaweji ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni NRM Agro mkaazi Masaki jijini Dar es Salaam kigogo wa kampuni inayohusika kuingiza na kusambaza mbolea ya NRM Agro Limited na wenzake wanadaiwa kuingiza shehena ya madawa ya kulevya aina ya Mitragyna Specioza uzito wa kilo 11, 596
View attachment 3601175
View attachment 3601176
Halaf wauza ngada wote wana life style ya kufanana, hawakosi show off na kujikweza
 
Back
Top Bottom