Kigogo wa Wema anaswa akiuza Mishikaki

Kigogo wa Wema anaswa akiuza Mishikaki

Tatizo sio kuuza mishikaki bali mtu ambaye alikuwa na heka za kutupa miaka miwili iliyopita leo anauza mishikaki

Tatizo hawa watu walitumia hela vibaya sana
 
Huyu jamaa kaonesha uanaume wa kweli, kushuka chini haimaanishi ukate tamaa.., ni kupambana tena kutoka chini hadi ufike juu
 
Kweli naamini Wema ni balaaa. Ukiwa nazo unamchapa mpaka **** itakatika, ukiachana naye lazima utalostika kinoma kasoro domobaya tu kwa sababu anakingwa na jadi analoendekeza mama yake ya kiha (hirizi, **** ya kichanga, nywele za marehemu, etc.).
Usirudie Ku quote Uzi mrefu.karibu
 
Angekua jambazi bado wambea wangeongea!!! Kaamua kujitafutia hela kihalali...
Ila nao wakome! Utapataje hela za mchezo ukaahindwa wekeza? Ata kununua nyumba ili upangishe...
Kupenda starehe tu!
 
Mimi nauza dagaa ili ninunue motokaaa!
Nipandishie uzi na mimi!
 
Angekua jambazi bado wambea wangeongea!!! Kaamua kujitafutia hela kihalali...
Ila nao wakome! Utapataje hela za mchezo ukaahindwa wekeza? Ata kununua nyumba ili upangishe...
Kupenda starehe tu!

Ni kweli
 
Back
Top Bottom