Vyama vya siasa Chadema na ACT Wazalendo vimeungana katika Kata ya Bukuba, Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma, kwa kugawana nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo Taifa, Abdul Nondo, wagombea wa uenyekiti wa vijiji vya Bukuba na Kibuye wanatoka Chadema, huku wagombea wote wa vitongoji katika vijiji hivyo wakitoka ACT Wazalendo. Vyama hivyo vimekuwa vikishirikiana katika mikutano ya kampeni, kuombeana kura, na kuweka mkakati wa pamoja wa kulinda ushindi.
Makubaliano haya yanaonesha mshikamano kati ya vyama vya upinzani kwa lengo la kuimarisha nafasi zao za ushindi na kuleta mabadiliko yanayotarajiwa na wananchi wa Kata ya Bukuba.
Waswahili wana ule msemo wao unasema umoja ni nguvu utengano ni dhaifu na hii imeonekana hivi karibuni huko mkoani Kigoma.
Viongozi wa Chadema na ACT Wazalendo wamekubaliana kushirikiana katika Kata ya Bukuba, Jimbo la Buhigwe, mkoani Kigoma. Katika makubaliano hayo, nafasi za uongozi zimegawanywa kati yao kwenye Vijiji viwili vya Bukuba na Kibuye.

Chadema imesimamisha wagombea wa uenyekiti wa vijiji hivi viwili, wakati ACT Wazalendo imesimamisha wagombea wa vitongoji vyote vya vijiji hivyo.
Viongozi hao wamekuwa wakishirikiana katika mikutano ,kampeni na kuombeana kura na kwa pamoja wamenuia kulinda ushindi wao.
hakuna mgombea wa ccm aleruhusiwa kwenda na fomu nyumbani gentleman,
utaratibu wa wagombea wa ccm wote inchi nzima, ulikua ni wa kuchukua fomu na kuirudisha hapohapo ulipochukulia siku hiyo hiyo inahakikiwa neno kwa neno na kuthibitishwa usahihi wake...
hayo mengine ni utopolo na makolo yunu binafsi, ambayo hayasaidii chochote

licha ya mihemko yako binafsi, lakini serikali sikivu ya ccm itaendelea kuchunga maslahi ya walimu kote nchini ili nanyi muweze kuendelea kujitolea bila kujibakiza kuhifadhi na kuitunza lugha yetu adhimu na maridhawa sana ya kiswahili, ulimwenguni.