Nasibu Zaburi
New Member
- Dec 24, 2023
- 3
- 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamba bila shaka anashukuru kuepuka kikombe hiki.Huyu Waziri kwanini asijiuzuru?!! Anahisi anafaa kuendelea kushikiria madaraka yaliyomshinda!
Waziri ni kama unamuonea tu bure,mimi nadhani namba 1 mwenyewe ndiye ANG'ATUKE..hata Nyerere aling'atuka so sio AJABUHuyu Waziri kwanini asijiuzuru?!! Anahisi anafaa kuendelea kushikiria madaraka yaliyomshinda!
Mnadhani kazi kubwa aliyoifanya Kipara itaweza kuwa revised kirahisi?Toka tarehe 20/02/2024 saa 9 alasiri Hadi Leo Tarehe 21 saa 5 asubui haujarudi. Masaa 20 yamekatika hamna umeme huku sio kukata huku ni kuzima. Mtaani kwako ikoje huko?
TANESCO
Hapana.Makamba bila shaka anashukuru kuepuka kikombe hiki.
Kiukweli tunateseka sana.Makamba bila shaka anashukuru kuepuka kikombe hiki.