Mihangaiko wapi? Mbinguni usemeHey guys mko poa nyie......
Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!
Kwa nia njema kabisa taja maeneo unayotokea mambo yawe mukidee haijalishi ni kigoma mjini, kasuru, kibondo au kigoma vijijini.
Mimi nianze, Napatikana juu ya stendi ya mkoa wa kigoma al maarufu Masanga but now sipo Kg nipo kwenye mihangaiko ya maisha.
Hey guys mko poa nyie......

Hapana mkuu sikifaham halaf mm sijawahi kufika kasulu but ahsante kwa kuniweka sawa
Ahaaaaaaaa ww hapo napapata fresh tu nilijua kasulu. Aiseee pale ikifika saa4 usiku Chausikuz wanakua shazi
Hukijui kituo cha kwa mchagaHapana mkuu sikifaham halaf mm sijawahi kufika kasulu but ahsante kwa kuniweka sawa
Hujamaliza kujitambulisha unapuyanga wapi?Fuata maelezo ya thread inavyosema sio unaanza kuni question whyyy
Kigoma mjini nimekaa miaka sita naijua vizuri kuanziaNilijua anazungumzia kasulu kwa ww wa wap
Sijaiona gungu kwa wababeKigoma mjini nimekaa miaka sita naijua vizuri kuanzia
Mwanga
Mlole
Bangwe
Shede
Kibirizi
Ujiji
Maweni
Mji mwema
Masanga
Zungu beach
Lake Tanganyika beach
Stanley pub
Kibo park etc
Mimi nilikuwa naishi karibu na kituo cha watoto yatima cha salganigual karibu na msikiti Mkuu wa ijumaa pale mjini
kijiwe ukipati ina maana ulikua siyo mtu wa kwenda mjini mkuu nilikua kigoma watoto wazuri mpaka basi duuuuHapana mkuu sikifaham halaf mm sijawahi kufika kasulu but ahsante kwa kuniweka sawa