Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kuhusu wanawake wazuri hakunaumenikumbusha mbali nitarudi tena kigoma mahali safi sana sema wakati wa mvua radi inapiga mpaka inakua shida aise duuuuu
Mbona gungu hakuna huo usela unao uzungumzia bro? Vijana wa gungu mbona washamba tu angalau ungesema wahuni wapo mwanga mitaa ya mwanga senta. Legeza mwendo simply mwanga yote ina wahuni kuliko sehem nyingine za mkoa wa kigomaWw hukutembelea maeneo ya GUNGU.
GUNGU ni sehem ambayo mwalimu nyerere aliibiwa ile fimbo aliyokua anatembea nayo akapalaani
Wishavu amenagulikeleka dutigite
kwann mkuu siyo sehemu salama itakua mm nimewaelewa vibaya ebu nijuze aise?Ila kuhusu wanawake wazuri hakuna
ANGALIZO: kigoma si sehemu salama sana ya kuoa
kweli maeneo kama ya ujiji na gungu ni ndumba tu hakuna kingineMbona gungu hakuna huo usela unao uzungumzia bro? Vijana wa gungu mbona washamba tu angalau ungesema wahuni wapo mwanga mitaa ya mwanga senta. Legeza mwendo simply mwanga yote ina wahuni kuliko sehem nyingine za mkoa wa kigoma
Labda gungu inasifika kwa uchawi
Ulimwo see mwambaMwidiwe
Unlike uwe wa huko na wew ila kama siokwann mkuu siyo sehemu salama itakua mm nimewaelewa vibaya ebu nijuze aise?
Nani mbishi sasa! Nani? Nitakugomola[emoji16]Wakigoma mkujeeee hapa ,kuna tetesi nyie jamaa niwabishi hatariiii!
kuhusu ushirikina hilo nimeshuhudia ata mm wakati niko kigoma ebu tupe huo ushuhuda wako mkuuUnlike uwe wa huko na wew ila kama sio
Narudia tena USIOE KIGOMA
Wanawake wa ule mji wana amini sana katika ushirikina sana tena sana
Nina shuhuda kadhaa
Hivi Raimundo wewe sio yule jamaa unayeuza mahindi ya kuchoma pale maeneo ya Kwa mchaga kabla ya kufika Ndaboine mbele kidogo ya Urusi asili?Mkuu hebu badili hapa kwenye kasuru iwe Kasulu.
Kuna kijiwe wanaita kwa Mchaga unakifahamu?
Mnao sema kigoma kuna wanawake wazuri napata wakati mgumu sana kuwaelewaBaba levo anasema kigoma noma
Wewe utakuwa hujawahi fika Kigoma, kwa mchaga iko kasulu kweli?Hapana mkuu sikifaham halaf mm sijawahi kufika kasulu but ahsante kwa kuniweka sawa
Katosho tena, na wakati Mimi mida hii naelekea ParadiseDaaaah sikutegemea kua naww ni wahuku huku bro... karibu kuoga katosho
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] nawaogopa sana wale watu nahisi hata huku watanitokea Mkuukuhusu ushirikina hilo nimeshuhudia ata mm wakati niko kigoma ebu tupe huo ushuhuda wako mkuu
Kigoma sio wabishi ila hatuburuzwiWakigoma mkujeeee hapa ,kuna tetesi nyie jamaa niwabishi hatariiii!