Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,975
Bitale IPI?Napatikana bitale ila sasa niko south
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bitale IPI?Napatikana bitale ila sasa niko south
Hahaaa nasikia ubishi ukitokea mnafanya kupokezanaKigoma sio wabishi ila hatuburuzwi
bitale huko kwenye kile chanzo cha maji mkuuNapatikana bitale ila sasa niko south
Mbese wewe uliheheubhuki ulisha indosho
wi shavu ameneke
gungu kuna wayege...wezi wa mawese sana hawaMbona gungu hakuna huo usela unao uzungumzia bro? Vijana wa gungu mbona washamba tu angalau ungesema wahuni wapo mwanga mitaa ya mwanga senta. Legeza mwendo simply mwanga yote ina wahuni kuliko sehem nyingine za mkoa wa kigoma
Labda gungu inasifika kwa uchawi
Hivi Raimundo wewe sio yule jamaa unayeuza mahindi ya kuchoma pale maeneo ya Kwa mchaga kabla ya kufika Ndaboine mbele kidogo ya Urusi asili?
Kwa mchaga wanauza mnanasi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu hebu badili hapa kwenye kasuru iwe Kasulu.
Kuna kijiwe wanaita kwa Mchaga unakifahamu?
igasulo...hahahaaaHa ha ha, Wa Kusoma nakuona nakuona!
Je ndu-wi Gasulo mwenewachu.
Wewe ujue vijiwe vya kigoma vinachanganya et,Ulivyosema unakaa maeneo hayo nikajua lazima hicho kijiwe ukijue, maeneo yangu sana hayo.
igasulo...hahahaaa
kudya amashindwi, au ubwobha bhu shihwe
Hata kasulu kipo[emoji134] [emoji134]Nilijua anazungumzia kasulu kwa ww wa wap
Wewe ujue vijiwe vya kigoma vinachanganya et,
Mlivouliza kasulu
Nikajue ni kile hua natembelea
Mwidiwe aseeMwidiwe
Sisi hatuzungumzii tetesi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wakigoma mkujeeee hapa ,kuna tetesi nyie jamaa niwabishi hatariiii!
Kumbe rafiki yangu Raimundo ni Muha! mwidiwe, urakozeHa ha ha, Wa Kusoma nakuona nakuona!
Je ndu-wi Gasulo mwenewachu.
Kumbe rafiki yangu Raimundo ni Muha! mwidiwe, urakoze
Nilimo! nilipata mchumba wa kutoka Manyovu kijiji cha Mukigo, baadae tuka differ hahahahahahaNi muha rafiki, mwidiwe, ulimo?