Kigoma JF users connect

Kigoma JF users connect

MIMI natoka nchi ya Kigoma, mkoa wa Kigoma mjini, wilaya ya kigoma mjini kata ya Bangwe

naishi nchi ya Tanzania, mkoa wa dodoma wilaya ya dodoma mjini kata ya chaduru
 
Mbona gungu hakuna huo usela unao uzungumzia bro? Vijana wa gungu mbona washamba tu angalau ungesema wahuni wapo mwanga mitaa ya mwanga senta. Legeza mwendo simply mwanga yote ina wahuni kuliko sehem nyingine za mkoa wa kigoma

Labda gungu inasifika kwa uchawi
gungu kuna wayege...wezi wa mawese sana hawa
 
Back
Top Bottom