Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenikumbusha mbali nitarudi tena kigoma mahali safi sana sema wakati wa mvua radi inapiga mpaka inakua shida aise duuuuuKigoma mjini nimekaa miaka sita naijua vizuri kuanzia
Mwanga
Mlole
Bangwe
Shede
Kibirizi
Ujiji
Maweni
Mji mwema
Masanga
Zungu beach
Lake Tanganyika beach
Stanley pub
Kibo park etc
Mimi nilikuwa naishi karibu na kituo cha watoto yatima cha sanganigwa karibu na msikiti Mkuu wa ijumaa pale mjini
aise watoto wazuri mchanganyiko pande za ujiji,gungu,kibirizi nk kweli kigoma ni muji duuuuBaba levo anasema kigoma noma
pande za wapi ulikua mkuuleka dutigite
teh teh teh ila mkoa una mambo duuuuMie Kigoma nilipapenda maana hata ukisahau simu mahali hawaibi!
Nilikuja tu kikazi mara moja nilikuwa nalamba maji kwenye baa inaitwa Website na kulala ka hotel Fulani kadogo kadogo kanaitwa Zanzibar Hotelpande za wapi ulikua mkuu
kuna stesheni ya treni halafu zaidi wanaishi wabembe au sio hapo? hahahahaWw hukutembelea maeneo ya GUNGU.
GUNGU ni sehem ambayo mwalimu nyerere aliibiwa ile fimbo aliyokua anatembea nayo akapalaani
kote hapo napaelewa mkuu safi sanaNilikuja tu kikazi mara moja nilikuwa nalamba maji kwenye baa inaitwa Website na kulala ka hotel Fulani kadogo kadogo kanaitwa Zanzibar Hotel
pande za ujiji kila makutano wamevunja nazi aise ila wenyeji ni wakarimuMambo gani hayo tueleze
ila kuna sehemu nzuri kama mwasenga,katubuka,vamia karibu na just in time bar nkUjiji wachawi sana ndio maana wasanii hawakati kuja kwa usiri