Kigoma JF users connect

Kigoma JF users connect

Ila kuhusu wanawake wazuri hakuna
ANGALIZO: kigoma si sehemu salama sana ya kuoa
Umechanganyikiwa wewe,

Fafanua halimashauri ya manispaa ya ujiji au kigoma kwa ujumla??



Njooo manyovu uone watoto wanaodeka utazani Imana yalabhakoloyeee

Kuna wasichana waloumbika mpaka unaweza usirudi ulikotoka
 
Hahaaa nasikia ubishi ukitokea mnafanya kupokezana

Siyo kupokezana mkuu, kuna ile unabishana na mtu halafu unaitwa au ghafla inatakiwa ukafanye issue nyingine na ubishi haujaisha, hapo inabidi umwombe mtu aendelee mlipoishia, unachofanya ni kumpa brief ya nini mnabishania.

Baadae ukirudi unaukuta ubishi unaendeleza alipoishia yule aliyekuwa amekushikia ubishi.
 
Kwa hiyo wewe ni X-Shemeji eeh.

Manyovu sijawahi kufika, inabidi nijipange nifike Manyovu aisee.
Ila sikufanya naye "matusi" hahahahahahahhahahahahahaah uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu miee
 
Ila sikufanya naye "matusi" hahahahahahahhahahahahahaah uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu miee

Haijalishi kama mlifanya, ushemeji si unaendelea kuwepo jamani, halafu ushemeji hauna x, kama ulikuwa shemeji unaendelea kuwa shemeji.
 
Haijalishi kama mlifanya, ushemeji si unaendelea kuwepo jamani, halafu ushemeji hauna x, kama ulikuwa shemeji unaendelea kuwa shemeji.
hahahahahahahahahahhaaha, ngo umenichekesha waaalahi!
 
Hey guys mko poa nyie......
Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!
Kwa nia njema kabisa taja maeneo unayotokea mambo yawe mukidee haijalishi ni kigoma mjini, kasulu, kibondo au kigoma vijijini.
Mimi nianze, Napatikana juu ya stendi ya mkoa wa kigoma al maarufu Masanga but now sipo Kg nipo kwenye mihangaiko ya maisha.
You know mtani nasisi inabidi tuje kuwasaidia kujadili
Infact peke enu hamuwezi
 
Wewe umesema ulikuwa na mchumba Muha, kwa hiyo wewe ni shemeji yangu.

Na tumeshakubaliana ushemeji hauna x. Hakuna mambo ya x shemeji.
hayaaaaaaaaaa urakoze urakoze, leka dutigite
 
Back
Top Bottom