mbili umekosa xUkudimba - Kuchovya, mfano unapokuwa unakula unamega tonge la ugali na kulichovya kwenye mchuzi.
Ukwidimba - Kuogelea kwenye madimbwi ya maji, mto au ziwani.
Ukumdimba - Ukumdimba mmazi, kumdumbukiza kwenye maji, kwenye ubatizo may be.
Kudimbika - Hapa unganisha unganisha kutokana na hizo maana juu
na wewe ukisema mjabosi umepotosha, umudyabhose, maana nigw'IgihaA
Aisee bahati mbaya simu yangu inashindwa ku upload picha ningeweka akajionea mwenyewe mjabosi ni nini
mbili umekosa x
ukwidimba=kujichovya
tonge unalichovya=unadimba, au unadimbika na ukwidimba=unajichovya mwenyewe majini...ulamenya ugutela igitoke...hahahahaaaaa miguu juu juuuu
Ilankunda umeua mkuuEmga ndashimye chane ndibhuse iwachu tamaaa
Twibhukanye imigani au imwivugo,
Jewe ngomba ntangule ati_
Hohose huchiye nu'chi bhango.
Ulitonda ugatondegwa
Umulushi ahebhula bhugaye
Umwana yanga ikilumbu, abhamenya hobhalise.
Umwana azengana igishenya, ntazengana ihela.
Indaha yabhise ibhuye ntibhika ihela
Ukulendela kwi nkumi ilasula igaseka.
ok mimi siikumbuki kigoma ya magorofa naikumbuka kigoma ile pale stand ya community center ni sehemu tunacheck video na mikutano ya siasa na ya kidini na uwanja wa mpira.Sawa. Ukiwa stand ya mabasi mkoa juu ya lile ghorofa la CWT panda juu kuna barabara inaelekea Airport chini ya shule ya msingi Kabingo ndio my residence area
kigoma nimekaa enzi za aifola mwenda salama kule beach nyuma ya hospital ya mkoa Maweni na Mbunge wetu Aman Waldi Kabourou,,
mbili umekosa x
ukwidimba=kujichovya ukwidimba ni kuogelea kwa kinyaheru na kanda za kigoma kwa maeneo ya kibondo wanasema Ukwibhira
tonge unalichovya=unadimba, au unadimbika na ukwidimba=unajichovya mwenyewe majini...ulamenya ugutela igitoke...hahahahaaaaa miguu juu juuuu
Pole mkuu sasa hv migazi yote mjini hakuna watu wamejenga mpaka baaaaasi kuna ghorofa kumi na zenye ukubwa kama zile za BOT zimejengwa maeneo flan yanaitwa buronge kwa ajili ya hospital ya kijeshiok mimi siikumbuki kigoma ya magorofa naikumbuka kigoma ile pale stand ya community center ni sehemu tunacheck video na mikutano ya siasa na ya kidini na uwanja wa mpira.
nimekugusa hapo mzee,enzi hizo Chege under ground mdogo sana anajaribu jaribu kama atakua mwanamzikiAifola Aifola Aifola mwenda salama, nikija ntamshika nani!
Utamshika mjinga mwenzako!
Noma sana enzi hizo.
Daaaaah namis bangwe beach, paradise, golden, aifola ifola nahisi linex alijipatia jina la wimbo hapa... katonga, nondwa kwao na majiniAifola Aifola Aifola mwenda salama, nikija ntamshika nani!
Utamshika mjinga mwenzako!
Noma sana enzi hizo.
nimekugusa hapo mzee,enzi hizo Chege under ground mdogo sana anajaribu jaribu kama atakua mwanamziki
wajinga wachafu wale wabembe ila wamekua wabongo wote,walikua hawajengi vyoo wanajisaidia majini wanakunywa maji hayohayo wanoga hayohayo wanafulia hayo hayoSijaona wabembe wa kibirizi sijui wako wapi.
Bhamutu bhayamba kumawe
Ndakwivuze Ngo.. niko mpola ngila waluhinya bhikaka!Emga ndashimye chane ndibhuse iwachu tamaaa
Twibhukanye imigani au imwivugo,
Jewe ngomba ntangule ati_
Hohose huchiye nu'chi bhango.
Ulitonda ugatondegwa
Umulushi ahebhula bhugaye
Umwana yanga ikilumbu, abhamenya hobhalise.
Umwana azengana igishenya, ntazengana ihela.
Indaha yabhise ibhuye ntibhika ihela
Ukulendela kwi nkumi ilasula igaseka.
Ukienda kigoma kusini maeneo ya mgambaz, sigunga, igalula wamejaa sana hao viumbe wafupi but now days wamestarabika hawabebi mzigo mgongoniwajinga wachafu wale wabembe ila wamekua wabongo wote,walikua hawajengi vyoo wanajisaidia majini wanakunywa maji hayohayo wanoga hayohayo wanafulia hayo hayo
Hahahahhaha....noma sanakigoma nimekaa enzi za aifola mwenda salama kule beach nyuma ya hospital ya mkoa Maweni na Mbunge wetu Aman Waldi Kabourou,,
enzi Haice zinaitwa hiyasi na umeme niwamgao generator kule Magereza,Nimekaa kigoma
enzi bwawa la katubuka tunavua samaki na kitimoto tunanunua kilo moja sh 400 kwa jamaa mmoja anaitwa sokolo pale katubuka ,
enzi hizo story kubwa ni za Bunjumbura na zaire ,
Enzi hizo nyimbo za kizairwa kama yondo sista shimita aalus mabele na kanda bongo man ndio habari ya mjini.
Enzi samaki huwezi kuuziwa kwa kilo ila kwa mafungu samaki watano sh 200 na nyongeza,
Kigoma ninayoijua mimi ni ile mitaa ya kilimahewa na mjimwema ni ya kishua sana hukatizi ovyo mbwa wakali kila kona.
kigoma ile ya Cine atras na Bahama Ujiji tunaenda kucheck video unatoa sh 20 unaangalia movie mbili ya Kihindi na ya kizungu plus trailor la mziki wa Wenge BDBG
kigoma Ni noma Bana napamiss sana nasikia saizi kumekua kama dar es salaam vurugu nyingi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Inabidi mtumie jina zuri zuri la kiheshima, sema baadae nilinywanganywa, na sitakagi hata kumkumbuka wala kuikumbuka Kibondo Girls.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Lakini unaikumbuka, chezea kunyimwa[emoji85] [emoji85] [emoji85]