bowlibo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 3,205
- 2,905
mbili umekosa xUkudimba - Kuchovya, mfano unapokuwa unakula unamega tonge la ugali na kulichovya kwenye mchuzi.
Ukwidimba - Kuogelea kwenye madimbwi ya maji, mto au ziwani.
Ukumdimba - Ukumdimba mmazi, kumdumbukiza kwenye maji, kwenye ubatizo may be.
Kudimbika - Hapa unganisha unganisha kutokana na hizo maana juu
ukwidimba=kujichovya
tonge unalichovya=unadimba, au unadimbika na ukwidimba=unajichovya mwenyewe majini...ulamenya ugutela igitoke...hahahahaaaaa miguu juu juuuu