Kigoma JF users connect

Kigoma JF users connect

Ukudimba - Kuchovya, mfano unapokuwa unakula unamega tonge la ugali na kulichovya kwenye mchuzi.
Ukwidimba - Kuogelea kwenye madimbwi ya maji, mto au ziwani.
Ukumdimba - Ukumdimba mmazi, kumdumbukiza kwenye maji, kwenye ubatizo may be.
Kudimbika - Hapa unganisha unganisha kutokana na hizo maana juu
mbili umekosa x

ukwidimba=kujichovya

tonge unalichovya=unadimba, au unadimbika na ukwidimba=unajichovya mwenyewe majini...ulamenya ugutela igitoke...hahahahaaaaa miguu juu juuuu
 
16706944_419333455078159_1071524055_n.jpg

Kwa hisani ya Mondray
Wayaaaaaaaaaaaaa big up my name mate nadhan kaelewa
 
mbili umekosa x

ukwidimba=kujichovya

tonge unalichovya=unadimba, au unadimbika na ukwidimba=unajichovya mwenyewe majini...ulamenya ugutela igitoke...hahahahaaaaa miguu juu juuuu

Okay, nimekusoma mkuu.
 
Emga ndashimye chane ndibhuse iwachu tamaaa

Twibhukanye imigani au imwivugo,

Jewe ngomba ntangule ati_

Hohose huchiye nu'chi bhango.

Ulitonda ugatondegwa

Umulushi ahebhula bhugaye

Umwana yanga ikilumbu, abhamenya hobhalise.

Umwana azengana igishenya, ntazengana ihela.

Indaha yabhise ibhuye ntibhika ihela

Ukulendela kwi nkumi ilasula igaseka.
Ilankunda umeua mkuu
 
kigoma nimekaa enzi za aifola mwenda salama kule beach nyuma ya hospital ya mkoa Maweni na Mbunge wetu Aman Waldi Kabourou,,

enzi Haice zinaitwa hiyasi na umeme niwamgao generator kule Magereza,Nimekaa kigoma

enzi bwawa la katubuka tunavua samaki na kitimoto tunanunua kilo moja sh 400 kwa jamaa mmoja anaitwa sokolo pale katubuka ,

enzi hizo story kubwa ni za Bunjumbura na zaire ,

Enzi hizo nyimbo za kizairwa kama yondo sista shimita aalus mabele na kanda bongo man ndio habari ya mjini.

Enzi samaki huwezi kuuziwa kwa kilo ila kwa mafungu samaki watano sh 200 na nyongeza,

Kigoma ninayoijua mimi ni ile mitaa ya kilimahewa na mjimwema ni ya kishua sana hukatizi ovyo mbwa wakali kila kona.

kigoma ile ya Cine atras na Bahama Ujiji tunaenda kucheck video unatoa sh 20 unaangalia movie mbili ya Kihindi na ya kizungu plus trailor la mziki wa Wenge BDBG

kigoma Ni noma Bana napamiss sana nasikia saizi kumekua kama dar es salaam vurugu nyingi
 
Sawa. Ukiwa stand ya mabasi mkoa juu ya lile ghorofa la CWT panda juu kuna barabara inaelekea Airport chini ya shule ya msingi Kabingo ndio my residence area
ok mimi siikumbuki kigoma ya magorofa naikumbuka kigoma ile pale stand ya community center ni sehemu tunacheck video na mikutano ya siasa na ya kidini na uwanja wa mpira.
 
Sijaona wabembe wa kibirizi sijui wako wapi.
Bhamutu bhayamba kumawe
 
mbili umekosa x

ukwidimba=kujichovya ukwidimba ni kuogelea kwa kinyaheru na kanda za kigoma kwa maeneo ya kibondo wanasema Ukwibhira

tonge unalichovya=unadimba, au unadimbika na ukwidimba=unajichovya mwenyewe majini...ulamenya ugutela igitoke...hahahahaaaaa miguu juu juuuu
 
ok mimi siikumbuki kigoma ya magorofa naikumbuka kigoma ile pale stand ya community center ni sehemu tunacheck video na mikutano ya siasa na ya kidini na uwanja wa mpira.
Pole mkuu sasa hv migazi yote mjini hakuna watu wamejenga mpaka baaaaasi kuna ghorofa kumi na zenye ukubwa kama zile za BOT zimejengwa maeneo flan yanaitwa buronge kwa ajili ya hospital ya kijeshi
 
nimekugusa hapo mzee,enzi hizo Chege under ground mdogo sana anajaribu jaribu kama atakua mwanamziki

Sana mkuu, nakumbuka Juma Kaseja alikuwa ndo golikipa wa timu ya mkoa kwenye Umitashumta kwa miaka mitatu mfululizo.

Kulikuwa na dogo mmoja anaitwa Paschal alikuwa ni point guard wa timu ya Basket, alikuwa ni noma yule dogo.
 
Sijaona wabembe wa kibirizi sijui wako wapi.
Bhamutu bhayamba kumawe
wajinga wachafu wale wabembe ila wamekua wabongo wote,walikua hawajengi vyoo wanajisaidia majini wanakunywa maji hayohayo wanoga hayohayo wanafulia hayo hayo
 
Emga ndashimye chane ndibhuse iwachu tamaaa

Twibhukanye imigani au imwivugo,

Jewe ngomba ntangule ati_

Hohose huchiye nu'chi bhango.

Ulitonda ugatondegwa

Umulushi ahebhula bhugaye

Umwana yanga ikilumbu, abhamenya hobhalise.

Umwana azengana igishenya, ntazengana ihela.

Indaha yabhise ibhuye ntibhika ihela

Ukulendela kwi nkumi ilasula igaseka.
Ndakwivuze Ngo.. niko mpola ngila waluhinya bhikaka!
 
wajinga wachafu wale wabembe ila wamekua wabongo wote,walikua hawajengi vyoo wanajisaidia majini wanakunywa maji hayohayo wanoga hayohayo wanafulia hayo hayo
Ukienda kigoma kusini maeneo ya mgambaz, sigunga, igalula wamejaa sana hao viumbe wafupi but now days wamestarabika hawabebi mzigo mgongoni
 
kigoma nimekaa enzi za aifola mwenda salama kule beach nyuma ya hospital ya mkoa Maweni na Mbunge wetu Aman Waldi Kabourou,,

enzi Haice zinaitwa hiyasi na umeme niwamgao generator kule Magereza,Nimekaa kigoma

enzi bwawa la katubuka tunavua samaki na kitimoto tunanunua kilo moja sh 400 kwa jamaa mmoja anaitwa sokolo pale katubuka ,

enzi hizo story kubwa ni za Bunjumbura na zaire ,

Enzi hizo nyimbo za kizairwa kama yondo sista shimita aalus mabele na kanda bongo man ndio habari ya mjini.

Enzi samaki huwezi kuuziwa kwa kilo ila kwa mafungu samaki watano sh 200 na nyongeza,

Kigoma ninayoijua mimi ni ile mitaa ya kilimahewa na mjimwema ni ya kishua sana hukatizi ovyo mbwa wakali kila kona.

kigoma ile ya Cine atras na Bahama Ujiji tunaenda kucheck video unatoa sh 20 unaangalia movie mbili ya Kihindi na ya kizungu plus trailor la mziki wa Wenge BDBG

kigoma Ni noma Bana napamiss sana nasikia saizi kumekua kama dar es salaam vurugu nyingi
Hahahahhaha....noma sana
 
Inabidi mtumie jina zuri zuri la kiheshima, sema baadae nilinywanganywa, na sitakagi hata kumkumbuka wala kuikumbuka Kibondo Girls.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Lakini unaikumbuka, chezea kunyimwa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom