Tunakodisha Bunduki
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 822
- 1,280
Mkuu hupajui urusi?Mkuu umechapia, hakuna sehemu inayoitwa hivyo Kigoma nzima.
Shuka zanzibar lodge ulizia urusiBro ipo sehem inaitwa urusi surely I tell you
Mkuu kwa sasa sipo kigomaOk nitakuja kukodisha bunduk muda su mrefu au unaweza zileta mwenyewe hapa shule ya kiislam senga nijichagulie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tusiseme ukweli mkuuKaanzishe kathread kenu huko ka watu wa tarime maana toka mwanzo umekua ukawa wa thread yetu
Urusi ipo ni kijiwe maarufu sana hapa mjini kwa masula ya kisiasa enzi za kaburu kilikuwaga CHADEMABro ipo sehem inaitwa urusi surely I tell you
Bro ipo sehem inaitwa urusi surely I tell you
Mkuu hupajui urusi?
Huo ujinga dogo unakodisha bunduki(silaha) yann nyie warundi ndio mnaharibu sifa ya mkoa wet,tokomeza silaha haram kigoma kwa maendeleo yetuOk nitakuja kukodisha bunduk muda su mrefu au unaweza zileta mwenyewe hapa shule ya kiislam senga nijichagulie
hapana mkuu kiasi chake siyo sana aiseMkuu inaonekana unapaelewa vizuri
PamojaHey guys mko poa nyie......
Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!
Kwa nia njema kabisa taja maeneo unayotokea mambo yawe mukidee haijalishi ni kigoma mjini, kasulu, kibondo au kigoma vijijini.
Mimi nianze, Napatikana juu ya stendi ya mkoa wa kigoma al maarufu Masanga but now sipo Kg nipo kwenye mihangaiko ya maisha.
Nasikia Kigoma mjini kuna mtaa unaitwa legeza mwendo, ukipita bila kusalimia wazew unaweza fika jioni badala ya nusu saa .Je ni kweli?Napatikana bitale ila sasa niko south