Kigoma JF users connect

Kigoma JF users connect

Urusi IPO maeneo ya kati kati ya kwa mchaga na mwanga center .karbu na u
Kwa golo the gueners wanapooneshea mpira,ila na mwaka sasa sijafika hometown kgm
 
Ok nitakuja kukodisha bunduk muda su mrefu au unaweza zileta mwenyewe hapa shule ya kiislam senga nijichagulie
Huo ujinga dogo unakodisha bunduki(silaha) yann nyie warundi ndio mnaharibu sifa ya mkoa wet,tokomeza silaha haram kigoma kwa maendeleo yetu
 
Huo ujinga dogo unakodisha bunduki(silaha) yann nyie warundi ndio mnaharibu sifa ya mkoa wet,tokomeza silaha haram kigoma kwa maendeleo yetu
Aiseee nitake radhi please mm sio mrundi zubeee
Toto la kiha toto la kirega
 
...wekeni vizuri ishu ya uchawi bandugu,
..mana kuna mtoto mmoja wa huko mkali balaa.,tatizo naogopa miba!
 
Hey guys mko poa nyie......
Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!
Kwa nia njema kabisa taja maeneo unayotokea mambo yawe mukidee haijalishi ni kigoma mjini, kasulu, kibondo au kigoma vijijini.
Mimi nianze, Napatikana juu ya stendi ya mkoa wa kigoma al maarufu Masanga but now sipo Kg nipo kwenye mihangaiko ya maisha.
Pamoja
 
Back
Top Bottom