Kigoma JF users connect

Kigoma JF users connect

Hey guys mko poa nyie......
Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!
Kwa nia njema kabisa taja maeneo unayotokea mambo yawe mukidee haijalishi ni kigoma mjini, kasulu, kibondo au kigoma vijijini.
Mimi nianze, Napatikana juu ya stendi ya mkoa wa kigoma al maarufu Masanga but now sipo Kg nipo kwenye mihangaiko ya maisha.
Ww utakuwa jirani yangu aisee
 
Hii nayo ndio naisikia kwako aiseee ila usipende kusikia tuuu uwe unathibitisha,Eti kasuli pazuri zaid ya mjini aiseeee watakucheka sana..
Nasikia wanasema kigoma mjini sio pazuri kiviile kama kasulu. wanadai kasulu ndo fresheeee! na wengi wanapakubali kasulu eti..

Nasikia sikia tyu

Cc Smart911
 
Wale wa mitaa ya mjengo soko mjinga msikiti wa kibonajoro hali ya hewa katubuka Nazareth hii ndio mitaa yangu utoto wangu iliishia mitaa hii
 
Kigoma mjini nimekaa miaka sita naijua vizuri kuanzia
Mwanga
Mlole
Bangwe
Shede
Kibirizi
Ujiji
Maweni
Mji mwema
Masanga
Zungu beach
Lake Tanganyika beach
Stanley pub
Kibo park etc
Mimi nilikuwa naishi karibu na kituo cha watoto yatima cha sanganigwa karibu na msikiti Mkuu wa ijumaa pale mjini
[emoji15]
 
nimeenda kigoma kwa mara ya kwanza last week !nimepapenda ingawa bado ipo nyuma kimaendeleo!

wanaume wa kule wakarimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu uwiiii


nitarudi kigoma !
 
Nilisoma newman college , nilianzia safari ya congo kigoma ingawa kasulu mjini ndio kuna mzizi wangu
 
Kuna fursa gani wakuu nihame Arusha fasta nije nisake shilingi aiseee jombaaz??
 
Back
Top Bottom