randez vous
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 890
- 621
Karibu THE wallet pub
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wallet hatari hapo kwa music.Karibu THE wallet pub
December ntatia timu huko na machalii nije nihamie kabisaaa....nijiandaeje kisaikolojia labda mkuu kabla cjaja??Uvuvi, kilimo, Biashara ya Samaki, sabuni,vitenge from congo,etc
[emoji15] [emoji87] iwachuunaitwa james ndalibanye makazi dar es salaam ila nyumbani heru juu kasulu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yebhabhawe kumbe nintyo
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliwika mate yakaniniga weee acha nihangaike[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Enzi hizo kujirusha ilikuwa ni kwa azim premji magorofani ,kwa wale wazee Wa wanzuki na kayoka wanakutana pale "mgatutu"kigoma nimekaa enzi za aifola mwenda salama kule beach nyuma ya hospital ya mkoa Maweni na Mbunge wetu Aman Waldi Kabourou,,
enzi Haice zinaitwa hiyasi na umeme niwamgao generator kule Magereza,Nimekaa kigoma
enzi bwawa la katubuka tunavua samaki na kitimoto tunanunua kilo moja sh 400 kwa jamaa mmoja anaitwa sokolo pale katubuka ,
enzi hizo story kubwa ni za Bunjumbura na zaire ,
Enzi hizo nyimbo za kizairwa kama yondo sista shimita aalus mabele na kanda bongo man ndio habari ya mjini.
Enzi samaki huwezi kuuziwa kwa kilo ila kwa mafungu samaki watano sh 200 na nyongeza,
Kigoma ninayoijua mimi ni ile mitaa ya kilimahewa na mjimwema ni ya kishua sana hukatizi ovyo mbwa wakali kila kona.
kigoma ile ya Cine atras na Bahama Ujiji tunaenda kucheck video unatoa sh 20 unaangalia movie mbili ya Kihindi na ya kizungu plus trailor la mziki wa Wenge BDBG
kigoma Ni noma Bana napamiss sana nasikia saizi kumekua kama dar es salaam vurugu nyingi
[emoji4] [emoji4] we kama Mimi zile enzi hata ule mwembe toga haujakatwa badook mimi siikumbuki kigoma ya magorofa naikumbuka kigoma ile pale stand ya community center ni sehemu tunacheck video na mikutano ya siasa na ya kidini na uwanja wa mpira.
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Daaaaah namis bangwe beach, paradise, golden, aifola ifola nahisi linex alijipatia jina la wimbo hapa... katonga, nondwa kwao na majini
Nazareth kule nyuma ya sido ,masanga tulikuwaga tunaenda kuokota kuni enzi zileeeMkuu nimeishi nazareth,masanga na burega
Nazareth kule nyuma ya sido ,masanga tulikuwaga tunaenda kuokota kuni enzi zileee
Burega tulikuwa tunaenda kufuaga
Nimeishi Norad, Nazareth ndo nilipo, soon Ntahamia MwasengaNazareth kule nyuma ya sido ,masanga tulikuwaga tunaenda kuokota kuni enzi zileee
Burega tulikuwa tunaenda kufuaga
We Rabani habari[emoji6] [emoji38] [emoji38]Nipo Kgm town
Kasudeco ulipaonaje?Nasikia wanasema kigoma mjini sio pazuri kiviile kama kasulu. wanadai kasulu ndo fresheeee! na wengi wanapakubali kasulu eti..
Nasikia sikia tyu
Cc Smart911