Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Mlole hapo kwa malongo au?! Nisalimie mzee kayabala km unamjua[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlole hapo kwa malongo au?! Nisalimie mzee kayabala km unamjua[emoji4]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]nimeenda kigoma kwa mara ya kwanza last week !nimepapenda ingawa bado ipo nyuma kimaendeleo!
wanaume wa kule wakarimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu uwiiii
nitarudi kigoma !
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tafadharii ukirudi nistue nikutembezee Mitaa yote utakayo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mwaka Jana mwezi Wa 5 nilifikia kilimahewa afu nikahamia ujijj soko LA watumwaAisee mara ya meisho ulikuepo lini?
Sehemu gn hapo?!Nipo Kgm town
Unajua nakutafuta nimekukosa kule nikaanza kukutafuta kumbe umekuja hukuteh nimerud na vitenge naambiwa chagua mrembo dadek tembezwa lake tanganyika ! sema sikua na muda sana jaman !yaan kule km hujaolewa waeza olew jaman wanakupenda ova umekuwa IMPORTED!teh mwakan natafta kasemina elekezi tena ndukiiiiiiiiiiiiiiiiii
Uko ujiji sehemu gn mkuu?!
Unajua nakutafuta nimekukosa kule nikaanza kukutafuta kumbe umekuja huku
Njoo kule bwanahahahha we nae !natania tu huku mume wangu !haya nipo kule
Hapana Niko darMkuu mpaka saivi upo kigoma
Ooo kuumbe nikija nitakutafuta mkuuNimeishi Norad, Nazareth ndo nilipo, soon Ntahamia Mwasenga
Njewe ndilihooMulihoseeeer
Ooo kuumbeeHahaaaaaaaaa mm nilikua nipo hapoo Kitongoni kwa jamaa mmoja anaitwa Shabani Milago!
Mmh! Mkuu basi tumekulia maeneo sawa kabisa.Wale wa mitaa ya mjengo soko mjinga msikiti wa kibonajoro hali ya hewa katubuka Nazareth hii ndio mitaa yangu utoto wangu iliishia mitaa hii