Kazi ya watu wa ujiji hiyo sehem nyingine ni maeneo ya kaza roho au rutale watu wanatundika mashati anganiNasikia Kigoma mjini kuna mtaa unaitwa legeza mwendo, ukipita bila kusalimia wazew unaweza fika jioni badala ya nusu saa .Je ni kweli?
Poa mkuu ntatembelea uko him Nile bata one day ingawa niliishia nyakanazi.Kigoma kusini nazi 300 unapata lkn mjini utakuta 700 mpaka buku
Unakaribishwa sanaa.............Poa mkuu ntatembelea uko him Nile bata one day ingawa niliishia nyakanazi.
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
hahahaha, sawa mkuuAliyeanzisha Uzi huu ,hongeera yko,mm natokea ujij kawawa kwa mzee ally mussa ng'ombe ,ukoo wenye ngombe nyingi ujiji nzima,kwa sasa nipo arusha
Hayo matope kipindi cha masika sasa sokoni ukienda na vi slippers vyako unarudi either umeviacha or umeshika mkononi kiangazi vumbi hao funza sasa uwiii kasulu ndo napajua kwingine sijafikaumenikumbusha mbali nitarudi tena kigoma mahali safi sana sema wakati wa mvua radi inapiga mpaka inakua shida aise duuuuu
safi sana aise ila ulipaonaje kigoma kwa ujumla wake?
Hili nljua litajitokeza tuSasa nyie ni wa kigoma au ni wa halimashauri ya wilaya ya kigoma??
Tuanzie hapo kwanza maanake sie wa kasulu mnatutelekeza