kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,815
- 6,517
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaye nsimenyaAmavyiru, amashindwi, nswa, ibhirumbu.
Ulamenya ugutenga umudyabhose?
alikukosea huyo, nyie si mnapenda kupigwapigwa kama ngoma?Nilimo! nilipata mchumba wa kutoka Manyovu kijiji cha Mukigo, baadae tuka differ hahahahahaha
kaye nsimenya
yebhabhawe kumbe nintyoNi njia ya kuchoma viazi kwa kutumia mfano wa tanuru la udungo, vile vipande vipande vya udongo kwenye kulima mnavitengeneza kama tanuru, mnachoma kwa kutumia mabua makavu mpaka ule udongo upate moto hasa, baada ya hapo unarusha viazi kwa ndani ya tanuru na unaponda ponda madongo yale, hapo viazi vinaivia kwa ndani.
Kesho yake asubuhi ndo mnakuja kufukua viazi vikiwa vimeiva safi.
naomba namba yake....m nawahusudu sana watoto wa mkigo...kuna watoto wazuri balaaNilimo! nilipata mchumba wa kutoka Manyovu kijiji cha Mukigo, baadae tuka differ hahahahahaha
Raimundo njoo unitafsirie please!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliwika mate yakaniniga weee acha nihangaike[emoji134] [emoji134] [emoji134]Kwenye kupika wali sasa, wa kwanza kupapua ndo atakayeanzisha ugomvi. Utasikia lipa ng'ombe wangu, maana yake mchape adui kodi ili ugomvi uanze rasmi.
Ukishinda ugomvi au adui amekataa kugombana unaambiwa wewe mshindi uwike kama Jogoo, Kokolikoo, koo! Hapo kidume umeibuka kidedea.
lkn sidhani kama kulikua na haja sana ya kuanzisha thread ya kikabila au ukanda au mkoa mnaotokea.....jamii forum is for great thinkers....Hey guys mko poa nyie......
Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!
Kwa nia njema kabisa taja maeneo unayotokea mambo yawe mukidee haijalishi ni kigoma mjini, kasulu, kibondo au kigoma vijijini.
Mimi nianze, Napatikana juu ya stendi ya mkoa wa kigoma al maarufu Masanga but now sipo Kg nipo kwenye mihangaiko ya maisha.
yebhabhawe kumbe nintyo
Weee kasulu sehemu gani?? Tuanzie hapo kwanzaMi niko Kasulu, kwa hiyo ruti itakuwa ya Kibondo, Nyakanazi (jimboni kwa Magu), Biharamulo, Geita, Sengerema, ila pale kwenye kivuko ndo sipapendagi mimi. Naogopa meli.
wabishii nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sawaa...Ha ha ha, eti wabishi.
Siyo bana, sema tunapenda kutetea hoja.
Ha ha ha, eti wabishi.
Siyo bana, sema tunapenda kutetea hoja.
Ni sawa wee si ndio wale mnaulizwa kwa mwanamke mnapenda nini??Hamna lolote mbwembwe tu
Hao Watusi koko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliwika mate yakaniniga weee acha nihangaike[emoji134] [emoji134] [emoji134]
nipe maana za ukudimba na ukwidimbaUwo ni wo mudya bhose wu kwosa ibhirumbu.
Aho ndashimyeee leloooo[emoji3] [emoji3] [emoji3]Jaman huu uzi haubagui kanda tuelewane vi zuri.
Kama ww ni wa kigoma mjini, kasulu, kibondo, uvinza, kigoma kusini, kigoma kaskazini pamoja na mwamgongo etc huu uzi unakuhusu. Ama nini mazee.Ingo tugambe viwachu vyi kigoma.
Ilankunda1234
Aisee bahati mbaya simu yangu inashindwa ku upload picha ningeweka akajionea mwenyewe mjabosi ni niniNi njia ya kuchoma viazi kwa kutumia mfano wa tanuru la udungo, vile vipande vipande vya udongo kwenye kulima mnavitengeneza kama tanuru, mnachoma kwa kutumia mabua makavu mpaka ule udongo upate moto hasa, baada ya hapo unarusha viazi kwa ndani ya tanuru na unaponda ponda madongo yale, hapo viazi vinaivia kwa ndani.
Kesho yake asubuhi ndo mnakuja kufukua viazi vikiwa vimeiva safi.