Kigoma: Makamu wa Rais Mpango, afanya Utalii wa Ndani Gombe

Kigoma: Makamu wa Rais Mpango, afanya Utalii wa Ndani Gombe

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametembelea Hifadhi ya Taifa Gombe, mkoani Kigoma na kupata fursa ya kujionea vivutio mbalimbali vya utalii hususani wanyama adimu aina ya Sokwe Mtu.

Makamu wa Rais aliyeambatana na Mke wake Mama Mbonimpaye Mpango alipata wasaa wa kupanda mti pamoja na kuzungumza na watumishi wa Gombe.

Pascal Shelutete
SAC CC
TANAPA
28.1.2021

IMG-20220129-WA0007.jpg
IMG-20220129-WA0006.jpg
IMG-20220129-WA0009.jpg
IMG-20220129-WA0008.jpg
IMG-20220129-WA0005.jpg
 
Zitto Kabwe ameshasahaulika Kigoma.

Mungu wa mbinguni mbariki VP Dr Mpango!
 
Safi ni vyema kwenda kutalii na kupunguza stress.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nimependa hilo la kupanda mti/miti. Hili ni suala la kuwekewa mkazo sana.
 
Naona VP na mkewe wameanza kunawiri, kweli Pesa n sabuni ya roho.
 
Makamu wa Rais asisitize kupanda miti na mikakati iwepo kila kijiji na kila mtaa
 
Back
Top Bottom