Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Zitto Kabwe ameshasahaulika Kigoma.
Mungu wa mbinguni mbariki VP Dr Mpango!
Ubonge sio kuwa na afya nzuriHalafu afya ya Dokta mpango siku hizi inakua bora kila siku, anakua bonge kweli kweli
Sijaona initiatives zozote za serikali kutunza mazingira.Nimependa hilo la kupanda mti/miti. Hili ni suala la kuwekewa mkazo sana.