Kigoma: Mbaroni kwa kumuua mama yake mzazi

Viongozi wa dini(kiroho) wawape mafunzo waumini wao ya utii,Upendo na umuhimu wa wazazi katika maisha yao,hakuna maisha mazuri duniani wala kesho kwa Mungu pasipo upendo na utii kwa wazazi
 
Kijana mdogo kabisa anaenda kuvaa Sare ya bluu kwa Tamaa za kijinga kabisa yaani unauwa mzazi kweli kisa fedha ?
 
Waha wameanza tena
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…