CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
MGOMBEA WA MAKAMU WA RAIS, BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI AGAWA KADI KWA VIJANA WA UVINZA TARAFA YA NGURUKA MKOANI KIGOMA
Makamu wa rais, Bi. Hamida Abdallah Huweishi amefika katika tarafa ya nguruka na kuzungumza na wananchi wa nguruka na kuwaomba ifikapo tarehe 28,octoba wasifanye makosa wamchague Prof.Lipumba kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Pia, makamu wa rais,amewapa kadi vijana zaidi ya tisini wa tarafa ya nguruka.
CHAGUA CUF,
MCHAGUE PROF.LIPUMBA.