Uchaguzi 2020 Kigoma: Mgombea Makamu wa rais CUF, Bi Hamida Huweishi agawa kadi kwa Vijana wa Uvinza, Nguruka

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234

MGOMBEA WA MAKAMU WA RAIS, BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI AGAWA KADI KWA VIJANA WA UVINZA TARAFA YA NGURUKA MKOANI KIGOMA


Makamu wa rais, Bi. Hamida Abdallah Huweishi amefika katika tarafa ya nguruka na kuzungumza na wananchi wa nguruka na kuwaomba ifikapo tarehe 28,octoba wasifanye makosa wamchague Prof.Lipumba kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Pia, makamu wa rais,amewapa kadi vijana zaidi ya tisini wa tarafa ya nguruka.

CHAGUA CUF,

MCHAGUE PROF.LIPUMBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…