Kigoma mjini, wapi pa kuosha macho wakuu

Kigoma mjini, wapi pa kuosha macho wakuu

Benaya-

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2019
Posts
4,415
Reaction score
7,631
Nipo Kigoma mjini kikazi kwa wiki moja,
Naomba kufahamu ni wapi panafaa kuosha macho wakuu.
Pawe sehemu tulivu na iliyostaarabika na pa kupakuosha macho..
Hahaha najua nimeeleweka.
@


................MREJESHO............

Kigoma mjini miundo mbinu mizuri sana, lami sehemu zote muhimu

Mandhari ya mji ni nzuri, vilima na beaches tamu sana.

Mji una utulivu hauna pilika nyingi.

Kwa ujumla nimeufurahia mji hasa Kidiama beach.



View attachment 1891519View attachment 1891520View attachment 1891521View attachment 1891522View attachment 1891523View attachment 1891524
 
Hivi watu was kigoma wanaishije? Naona Kama wanapata mateso saana.
Kigoma wana ziwa Tanganyika linatoa ajira kwa wengi, michikichi..kwa mawese, wana mpunga, maharage haya ni kwa wakazi, lakini pia imasikini ni mkubwa sana.
Nimeelewa kwanini waha wakija Dar na mikoani hawacheki na Nyani.[emoji38]
 
Back
Top Bottom