Duh sijui nikuelekezeje, chukua bajaji watakuelezaOne lounge iko sehem gani boss
Kigoma nasikia kuna vumbi sana mkuu vipi mnaishije huko?Njoo hapa One Lounge karibu na jikoni
Pamechoka hapa palikuwa zamani, nenda Tanganyika hotel hukoHilltop, lake Tanganyika beach
Ukiwa jumba jeupe upande gani mkuuNjoo hapa One Lounge karibu na jikoni
Sizani kigoma kuna sehemu ya kuitwa mjini.........anyway nenda pale bulombola
Kigoma wana ziwa Tanganyika linatoa ajira kwa wengi, michikichi..kwa mawese, wana mpunga, maharage haya ni kwa wakazi, lakini pia imasikini ni mkubwa sana.Hivi watu was kigoma wanaishije? Naona Kama wanapata mateso saana.
Kawaida mkuu, mji mwema, Nazareth, FFU, Mwanga town Kati na kule maeneo ya gerezani hukoWe mutu umetembea sana