Wewe sifa za sehemu unayotaka umeweka? Anyways ni sehemu zinapatikana huduma nyingi kama vyakula, vinywaji, pia pana night club kwa usiku nilikuwa napendelea kukaa kwenye kighorofa huku nikienjoy mandhali ya ziwa Tanganyika vile viboti na mitumbwi vinavyokatiza katiza.Muwe mnaweka na sifa wakuu
Hapa sawa mkuuWewe sifa za sehemu unayotaka umeweka? Anyways ni sehemu zinapatikana huduma nyingi kama vyakula, vinywaji, pia pana night club kwa usiku nilikuwa napendelea kukaa kwenye kighorofa huku nikienjoy mandhali ya ziwa Tanganyika vile viboti na mitumbwi vinavyokatiza katiza.
Vumbi ni kuanzia Kasulu kwenda Kibondo wanakojenga Barbara, sisi hapa ni raha tuKigoma nasikia kuna vumbi sana mkuu vipi mnaishije huko?
Ndio mjini kwenyewe hapo mkuuNimefikia Mwanga yaani sioni senta kabisa[emoji38]
Nimeingia kwa huu uzi kutqfuta comment za aina hii😂Kigoma nasikia kuna vumbi sana mkuu vipi mnaishije huko?
Niliwahi juta kumtembelea rafiki yangu pale ofsi za kushughulika na wakimbizi kwenye kimlima hiviVumbi ni kuanzia Kasulu kwenda Kibondo wanakojenga Barbara, sisi hapa ni raha tu
Hahahhaaha si Bora hata kigoma vipi Katavi ukitoa Mpanda hotel japo ndio hivyo imechoka Kuna Nini hapo, labda lodge za lyamba na good morning kidogo😂😂😂Daah Kigoma bado sana yaani
Hahaha nimekuweza mkuuPhaller wewe roho chafu
Panaitwa MLIMANI njia ya Kwenda Buhigwe nyumbani kwa Makamu wa RaisNiliwahi juta kumtembelea rafiki yangu pale ofsi za kushughulika na wakimbizi kwenye kimlima hivi
Labda pale mwangaAkapate mojamoja pale paradise
Kuna kiwanja kimoja kiko karibu na ulipo Ubalozi mdogo wa Burundi pazuri sana kuna live band mtu na mkewe safi kabisa..Nipo Kigoma mjini kikazi kwa wiki moja,
Naomba kufahamu ni wapi panafaa kuosha macho wakuu.
Pawe sehemu tulivu na iliyostaarabika na pa kupaha macho..
Hahaha najua nimeeleweka.
@
Wallet nini mkuu? Japo sipo na mkeKuna kiwanja kimoja kiko karibu na ulipo Ubalozi mdogo wa Burundi pazuri sana kuna live band mtu na mkewe safi kabisa..
Sehemu nyingine ni hapo hapo ukishuka mteremko hivi kama unatokea kwa mchaga sasa kabla hujafika stesheni karibu na ofisi za posta kuna maeneo ya bata hapo hasa mida ya usiku sana panapendeza..
Sikumbuki vizuri jina lake,ila ipo karibu kabisa na mjini kule stesheni..Wallet nini mkuu? Japo sipo na mke